Sabina Chege akwepa kikao na IEBC

Na WANDERI KAMAU MWAKILISHI wa Kike wa Kaunti ya Murang’a, Bi Sabina Chege, jana Jumanne alikosa kuhudhuria kikao ambapo alitarajiwa...

Shirika latilia shaka maandalizi ya IEBC

WACHIRA MWANGI na FARHIYA HUSSEIN SHIRIKA moja la wanaharakati nchini limeelezea wasiwasi wake kuhusu maandalizi duni miongoni mwa...

Chebukati atawaweza wanasiasa?

Na WANDERI KAMAU MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Bw Wafula Chebukati, anaendelea kuwakazia kamba wanasiasa, huku...

TAHARIRI: IEBC ihakikishe wanasiasa wanaoshiriki harambee wanaadhibiwa

KITENGO cha UHARIRI KUANZIA leo, ni marufuku kwa wanasiasa wanaopania kuwania nyadhifa mbalimbali kushiriki katika hafla za kuchangisha...

IEBC yaonya Raila, Ruto kuhusu kampeni

Na CHARLES WASONGA MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati, amesema kampeni za mapema zinazoendeshwa na Naibu...

IEBC kufanya usajili tena Januari 2022

Na WALTER MENYA TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) itaendesha awamu ya pili ya usajili wa wapigakura kwa wingi mnamo Januari 2022...

Chebukati sasa akataa ‘kupangwa’

Na WANDERI KAMAU HATUA ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuepuka lawama za mapendeleo katika uchaguzi mkuu ujao kwa kujiondoa...

WANDERI KAMAU: Wanasiasa wakome kudhalilisha IEBC hadharani, wanaweza kuzua ghasia

Na WANDERI KAMAU UCHAGUZI Mkuu wa 2022 unaponukia, macho yote sasa yanaelekezwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC). Kati ya...

TAHARIRI: Viongozi wasisute ovyo tume ya IEBC

KITENGO CHA UHARIRI HUKU tarehe rasmi ya Uchaguzi Mkuu ikizidi kukaribia, baadhi ya wanasiasa wameanza kuzidisha mashambulizi dhidi ya...

IEBC huru kuandaa uchaguzi- Korti

JOSEPH WANGUI na LEONARD ONYANGO TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), sasa iko huru kuendelea na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa...

Idadi ndogo ya wanaojiandikisha wawe wapigakura yashuhudiwa kwenye vituo mbalimbali

Na SAMMYWAWERU SIKU mbili baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuzindua rasmi shughuli ya kuwasajili wapigakura wapya, idadi...

Wanasiasa wabuni njama IEBC ikisajili wapigakura wapya

Na WAANDISHI WETU IDADI ndogo ya wananchi walijitokeza Jumatatu katika kaunti za Pwani kwa usajili wa wapigakura wapya, huku baadhi ya...