Uhuru aonyesha Raila Ikulu

CHARLES WASONGA na BENSON MATHEKA RAIS Uhuru Kenyatta, jana Jumapili alionyesha wazi kwamba anamuunga kiongozi wa ODM Raila Odinga kuwa...

Ubinafsi unavyowasukuma wanasiasa kumezea mate Ikulu huku Wakenya wakiteseka

Na MOHAMED AHMED WANASIASA wanaomezea mate kiti cha urais nchini wameanza kampeni za mapema bila kujali mahangaiko ambayo raia wanapitia...

Yafichuka Ikulu inalazimisha Mlima Kenya kuunga mkono BBI

Na MWANGI MUIRURI KATIBU wa Baraza la Mawaziri, Kennedy Kihara amefichua kuwa ni msimamo wa Rais Uhuru Kenyatta kuwa mrengo wa kisiasa...

Corona haitambui mamlaka, waliokuwa Ikulu kupimwa

Na VALENTINE OBARA UKWELI kuwa virusi vya corona havitambui mamlaka wala tabaka ulidhihirika Jumatatu baada ya kuthibitishwa kuwa...

Corona yaingia Ikulu

Na CHARLES WASONGA WAFANYAKAZI wanne wa Ikulu ya Nairobi wamethibitishwa kuwa na virusi vya corona Jumatatu alasiri. Kwenye taarifa...

COVID-19: Serikali kuu na zile za kaunti zakubaliana kushirikiana katika ufunguzi wa sekta mbalimbali

Na CHARLES WASONGA SERIKALI Kuu na Serikali 47 za kaunti zimekubaliana kuwahusisha magavana katika mipango yote ya kufungua uchumi,...

Isaac Ruto akanusha kutumiwa helikopta na Ikulu

Na VITALIS KIMUTAI KIONGOZI wa Chama Cha Mashinani (CCM), Isaac Ruto, amekanusha madai kwamba Jumatano asubuhi alitumiwa helikopta...

Uhuru akutana na madiwani wa Nairobi kujadili utoaji huduma

COLLINS OMULO na PSCU RAIS Uhuru Kenyatta amekutana na madiwani wote wa Chama cha Jubilee (JP) katika Kaunti ya Nairobi katika Ikulu...

Lazima Ruto aingie Ikulu – Tangatanga

Na GEORGE MUNENE WABUNGE 18 kutoka eneo la Mlima Kenya wanaoegemea mrengo wa Tangatanga Jumapili walisisitiza kuwa Naibu wa Rais William...

Handisheki inaweka vizuizi Ruto kupata funguo za Ikulu?

Na MWANGI MUIRURI UAMUZI wa Raila Odinga kufanya kazi kwa ushirikiano na Rais Uhuru Kenyatta unadadisiwa kuzidisha ugumu wa Naibu Rais,...

Aliyenuia kumuua Rais Ikulu amuomba msamaha

Na RICHARD MUNGUTI MWANAFUNZI wa chuo kikuu aliyeingia Ikulu ya Nairobi kwa kuruka ukuta akiwa na lengo la kumuua Rais Uhuru Kenyetta...

Aliyeingia Ikulu ‘kuua’ Rais amehepa – Polisi

Na RICHARD MUNGUTI  MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha JKUAT, Brian Bera Kibet ametoroka kutoka Hospitali Kuu ya Kenyatta (KNH) alikokuwa...