Nia yetu ni kuisaidia Kenya kumudu madeni – IMF

Na VALENTINE OBARA SHIRIKA la Fedha Ulimwenguni (IMF) limejitetea baada ya kukosolewa na Wakenya mitandaoni kwa kuendelea kuipa serikali...

LEONARD ONYANGO: Ukweli ni kuwa Kenya yahitaji suluhu ya madeni

Na Leonard Onyango WAKENYA, wiki iliyopita, walitumia mitandao ya kijamii kushinikiza Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kufutilia...

Wakenya waendelea kuishinikiza IMF kukoma kuikopesha Kenya

Na SAMMY WAWERU WAKENYA mitandaoni wameendeleza mchakato wa kulishinikiza Shirika la Fedha Duniani (IMF) kufuta mkopo wa Sh257 bilioni...

Mkopo wa IMF wazua hasira kwa Wakenya

Na MARY WANGARI MKOPO wa Sh257 bilioni uliopewa serikali ya Kenya wiki jana na Shirika la Fedha Duniani (IMF) umepingwa na Wakenya ambao...

IMF kukopesha Kenya Sh262b kufufua uchumi

Na CHARLES WASONGA MAAFISA wa Shirika la Fedha Ulimwenguni (IMF) wanaozuru Kenya wametangaza kuwa shirika hilo litaipa Kenya mkopo wa...

IMF yapongeza vita dhidi ya ufisadi na mageuzi ya kiuchumi nchini

Na CHARLES WASONGA SHIRIKA la Fedha Ulimwenguni (IMF) limeipongeza Kenya katika juhudi zake za kupambana na ufisadi, ikielezea matumaini...

Rift Valley Railways yawekewa vikwazo na IMF sababu ya ufisadi

Na BERNARDINE MUTANU BENKI ya Dunia imeliwekea vikwazo Shirika la Uchukuzi wa Reli la Rift Valley Railways (RVR). Hii ni kutokana na...