Radi yaua 60 wakiwemo 11 waliokuwa wakipiga ‘selfie’

Na MASHIRIKA NEW DELHI, India WATU 60, wakiwemo 11 waliokuwa wakipiga picha za ‘selfie’ kwenye mvua, walifariki baada ya kupigwa...

Mafuriko yaua 18, wengine 200 hawajulikani walipo

Na AFP RISHIKESH, India WATU 18 wamethibitishwa kufariki na wengine 200 hawajulikani waliko baada ya kusombwa na mafuriko yaliyotokea...

MbS atarajiwa kutanzua mkwamo baina ya India na Pakistan

Na AFP KASHMIR, INDIA MAJESHI ya India yalipata pigo Jumatatu katika vita ambavyo yanashiriki na wapiganaji wa Kashmir, baada ya tisa wao...

Wahindi wakejeli utumizi wa mafuta ya ng’ombe kutengeneza pesa

MASHIRIKA Na PETER MBURU JAMII ya Hindu inaitaka benki ya Reserve kutoka Australia kuanza kuchapisha sarafu za noti zisizoundwa kutumia...

UTAMADUNI: Watu milioni 15 kukongamana katika mito mitakatifu

MASHIRIKA Na PETER MBURU TAYARI watu milioni 4 wameanza kushiriki utamaduni wa kukongamana majini nchini India, baada yao kwenda katika...

Ghasia baada ya mahakama kuamuru wanawake waruhusiwe hekaluni

BBC na PETER MBURU KERALA, INDIA KULIKUWA na maandamano na fujo katika hekalu moja nchini India, baada ya Mahakama Kuu ya nchi hiyo kutoa...

Watupa mtoto kwa kukejeliwa kuzaa watoto wengi

Na MASHIRIKA na VALENTINE OBARA KERALA, INDIA MWANAMUME na mkewe waliyekamatwa na polisi kwa kutupa mtoto wao walisema walifanya hivyo...

Familia yakabiliwa na mzigo wa kulipia upasuaji wa binti yao

Na PETER MBURU Kwa Muhtasari: Babake Jane Wacuka, aliamua kumgawia sehemu ya ini lake asimwone akiteseka tena Familia hiyo...