Chipukizi asimulia machafuko ya 2007 yalivyomchochea kujitosa kwa usanii wa injili

NA WANNIE  ONYANDO  Wengi wanapitia changamoto nyingi maishani. Anayohitaji mtu ni maneno yatakayompa motisha na tumaini. Kando na...

SUSAN NJOROGE: Sipendi raha za dunia

Na JOHN KIMWERE NI miongoni mwa wasanii wanaoibukia katika ulingo wa burudani ya nyimbo za kumtukuza Mungu. Talanta yake ilitambuliwa...

RAHAB MWENDE: Ninafuata nyayo za Ruth Wamuyu katika usanii wa injili

Na JOHN KIMWERE ALIANZA kujituma katika masuala ya muziki wa injili akiwa na umri wa miaka 13 ambapo analenga kujituma kiume kuhakikisha...

SYOKAU NZOMO: Namshukuru Mola nang’aa kwa usanii wa injili licha ya dhuluma nyumbani

Na JOHN KIMWERE NI ndoto ya kila msanii kuona anabobea katika kazi zake na kutambulika kote duniani. Aidha, kila mwimbaji anayeibukia...

‘Yanayowakuta wajane yasiwafishe moyo kusukuma gurudumu la maisha’

Na SAMMY WAWERU KATIKA jamii nyingi Barani Afrika, kumesikika visa vingi ambapo mume pindi anapofariki, jamaa zake huhangaisha mke mjane...

USANII: Kaunti ya Kitui yasaidia vijana kurekodi nyimbo

Na SAMMY WAWERU SANAA - hasa uimbaji na uchoraji - imesaidia kubuni nafasi nyingi za ajira nchini. Si tu katika sanaa za hizo, ila...

JOHN OGO: Msanii ibuka anayelenga kuwapa matumaini wanaougua Ukimwi

Na JOHN KIMWERE AMEPANIA kutumia utunzi wa nyimbo zake kubadilisha maisha ya wengi hapa nchini. Anaamini ni kipaji alichotunukiwa na...

MAPOZI: Mwanamuziki Evelyne Wanjiru

Na PAULINE ONGAJI JINA lake katika ulingo wa muziki wa injili nchini sio geni; na sio kutokana na mwangaza mbaya wa habari au muziki tata,...

MOSES OTIENO EGESA: Mtunzi wa muziki wa injili anayelenga juu

Na PATRICK KILAVUKA KUJIPA matumaini ni kujiweka katika hali ya kutarajia. Ni katika kutumaini na kuvumilia, dau lake la kukuza kipawa...