FAUSTINE NGILA: Serikali isikimye gharama ya intaneti ikizidi kupanda

NA FAUSTINE NGILA IWEJE Kenya, taifa linalotambuka Afrika kwa mpenyo wa juu wa intaneti, inaburuta mkia katika orodha ya mwaka huu ya...

Waganda washerehekea kurejeshwa kwa intaneti

MASHIRIKA na CHARLES WASONGA  RAIA wa Uganda wamesherehekea kurejeshwa kwa huduma za mawasiliano ya intaneti ambazo zilizimwa siku...

Mshindi wa urais Uganda kujulikana kesho

NA DAILY MONITOR TUME Huru ya Uchaguzi nchini Uganda inatarajiwa kumtangaza mshindi wa kiti cha Urais hapo Jumamosi baada ya kuandaa...

Masharti ya kuzima wazee yazua kizuizi kwa ufunguzi wa makanisa

TITUS OMINDE, DIANA MUTHEU na MAUREEN ONGALA IBADA ndani ya makanisa na misikiti huenda zikaathirika, baada ya viongozi wa kidini kusema...

Gharama za juu za Intaneti nchini Uganda zawafungia wengi nje

Na MAGDALENE WANJA IDADI ya wanaotumia mtandao nchini Uganda ilipungua kwa asilimia 30 mwaka 2018 baada ya serikali kuongeza kodi kwenye...

Banglandesh yazima tovuti 20,000 za ngono

MASHIRIKA Na PETER MBURU SERIKALI ya Bangladesh imezima takriban tovuti 20,000 ambazo zimekuwa zikipeperusha mambo ya ngono na michezo...

Lindeni watoto dhidi ya hatari za intaneti – Safaricom

Na BERNARDINE MUTANU Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Safaricom imewashauri washikadau kuwalinda watoto dhidi ya hatari inayotokana na...

2019: Ukosefu wa usiri wa data mitandaoni utazidi kuwaumiza Wakenya mwaka huu

Na FAUSTINE NGILA TEKNOLOJIA ya dijitali mwaka uliopita ilituwezesha kupata taarifa tunazotaka mitandaoni kwa urahisi zaidi ila bila...

Kenya kunufaika na mradi wa kuweka intaneti vijijini

NA AGGREY MUTAMBO KENYA ni miongoni mwa mataifa ya Afrika yanayotarajiwa kunufaika na mradi mpya unaolenga kupanua idadi ya maeneo...

Wakenya wengi wanapenda simu za Tecno – Utafiti

Na CHRIS ADUNGO KAMPUNI ya Uchina, Transsion Holdings inaongoza kwa mauzo ya simu za mkononi katika soko la Kenya kulingan na...

Orion yajitosa kwa biashara ya mtandaoni

Na CHRIS ADUNGO MADUKA ya Orion yanayofanya biashara ya mtandaoni humu nchini yamejiunga na shirika la ununuzi na uuzaji wa mitandaoni...

Kisura ataka picha zake mtandaoni ili ajue polo anampenda

Na LEAH MAKENA KILELESHWA, NAIROBI Mzozo mkali uliibuka kati ya wapenzi wa hapa pale kidosho alipojaribu kumlazimisha jamaa kuanika...