Matumaini ya mwafaka kati ya Israeli na Palestina yafifia

Na MASHIRIKA JERUSALEM, Israeli JUHUDI za kutafuta mwafaka wa amani kati ya Israeli na Wapalestina zimegonga mwamba, licha ya...

DOUGLAS MUTUA: Suluhu itafutwe kwa vita kati ya Israeli na Palestina

Na DOUGLAS MUTUA VITA vinavyoendelea kati ya Israel na Palestina vimechochewa na uchu wa mamlaka wa mtu mmoja: Waziri Mkuu wa Israel,...

400 wafa vita kati ya Israeli na Wapalestina vikichacha

Na AFP VITA vikali kati ya Israel na Palestina viliendelea kuchacha jana kwa siku ya nne mfululizo huku Palestina wakirusha makombora...

FAUSTINE NGILA: Vita vya Iran, Israel visizuie ukuaji wa teknolojia nchini

[caption id="attachment_69777" align="alignleft" width="887"] Balozi wa Iran nchini Jafar Barmaki Iran (kushoto), makamu wa rais wa nchi...

NGILA: Kenya ifuate mfano wa Israeli kuleta maendeleo

Na FAUSTINE NGILA KWA muda mrefu sasa, Kenya imejivunia jina ‘Silicon Savannah’ ya Afrika kutokana na uwezo wake mkubwa katika...

Facebook yamzima mwanawe Netanyahu kutaka Waislamu watimuliwe Israeli

MASHIRIKA na PETER MBURU YAIR Netanyahu, mwanawe Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu Jumapili alipigwa marufuku katika mtandao wa...

Msichana aliyecharaza wanajeshi wa Israeli makofi aachiliwa

Na MASHIRIKA Msichana wa Kipalestina aliyefungwa jela kwa kuwachapa makofi wanajeshi wa Israeli, aliachiliwa huru jana baada ya miezi...

Pompeo ajikuna kichwa kupatanisha Israeli na Palestina

Na MASHIRIKA TEL AVIV, ISRAEL WAZIRI wa Mambo ya Kigeni wa Amerika Mike Pompeo alifika nchini Israel Jumapili katika kipindi cha kuzorota...

Mzee Moi arejea nchini baada ya matibabu Israeli

Na WYCLIFFE KIPSANG RAIS Mstaafu Daniel Moi alirejea nchini Jumamosi usiku baada ya kupokea matibabu nchini Israeli. Kulingana na...

Moi asafirishwa Israeli kwa matibabu ya dharura

Na WANDERI KAMAU na WYCLIFF KIPSANG RAIS Mstaafu Daniel Moi Jumapili alisafirishwa nchini Israeli kupata matibabu ya dharura. Ripoti...

Israeli yashambulia kambi za jeshi la Iran na Syria ikidai waliichokoza

[caption id="attachment_1253" align="aligncenter" width="800"] Wanajeshi wa Israeli kaskazini mwa taifa hilo eneo la Alonei Abba, Februari...