UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Istilahi muhimu katika taaluma ya Isimu

Na MARY WANGARI KUNA istilahi kadha ambazo ni muhimu katika taaluma ya Isimu. Utendaji Ni kile anachosema  mjua lugha katika muktadha...

SHAIRI: Ushairi tujifunze, tupate kuumaizi

Na KULEI SEREM Istilahi za shairi, zimepangwa kwa mpororo,  Mishororo ni mistari, kama kamba na nyororo, Wengi wanatahadhari, ila ni...