Sancho afanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuingia katika sajili rasmi ya Manchester United

Na MASHIRIKA FOWADI Jadon Sancho wa timu ya taifa ya Uingereza amefanyiwa vipimo vya afya kadri anavyojizatiti kukamilisha uhamisho wake...

FA yashtumu tukio la ubaguzi wa rangi dhidi ya Saka, Sancho na Rashford

Na MASHIRIKA SHIRIKISHO la Soka la Uingereza (FA) limeshtumu na kukashifu tukio la wanasoka Jadon Sancho, Marcus Rashford na Bukayo Saka...

Manchester United mwishowe wakubali kumsajili Jadon Sancho kwa Sh12 bilioni

Na MASHIRIKA MANCHESTER United hatimaye wameafikiana na Borussia Dortmund kuhusu uhamisho wa kiungo mvamizi raia wa Uingereza, Jadon...

Borussia Dortmund wapunguzia Manchester United bei ya Jadon Sancho

Na MASHIRIKA BORUSSIA Dortmund wamewaeleza Manchester United kuweka mezani Sh11.4 bilioni ili wajitwalie huduma za kiungo chipukizi raia...

Sancho aweka rekodi ya uchangiaji mabao katika soka ya Bundesliga

Na MASHIRIKA JADON Sancho, 20, alifunga bao na kuchangia bao lake la 50 katika mechi za Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) mnamo...

Dortmund wacharaza Augsburg na kukomesha ukame wa mechi tatu bila ushindi Bundesliga

Na MASHIRIKA JADON Sancho alifunga bao na kusaidia waajiri wake Borussia Dortmund kuwapokeza Augsburg kichapo cha 3-1 kwenye Ligi Kuu ya...

Sancho afungia Borussia Dortmund bao la kwanza katika Bundesliga msimu huu huku Bayern Munich wakipiga Mainz bila huruma

Na MASHIRIKA FOWADI Jadon Sancho alifunga bao lake la kwanza katika kampeni za Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) msimu huu na kusaidia...

Juhudi za Manchester United kusajili Dembele na Sancho zagonga ukuta

Na MASHIRIKA JADON Sancho ambaye ni windo kubwa la Manchester United atasalia kambini mwa Borussia Dortmund huku uhamisho wa Ousmane...

Jadon Sancho acheka na nyavu mara tatu kuiongoza Dortmund kuisagasaga Paderborn 6-1

Na CHRIS ADUNGO CHIPUKIZI Jadon Sancho alifunga mabao matatu kwa mara ya kwanza tangu kurejelewa kwa Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga)...