Nahitaji miaka 3 kuifahamu vyema idara – Jaji Mkuu Martha Koome

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Mkuu Martha Koome amesema kuwa itamchukua miaka mitatu ili kuielewa vyema Idara ya Mahakama. .Jaji Mkuu...

Jaji Koome atwaa afisi muhimu akiahidi mageuzi

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Mkuu mpya Martha Koome ameapa kuhakikisha uhuru wa idara ya mahakama unazingatiwa na kutekelezwa, huku akiomba...

JSC yateua Martha Koome kuwa Jaji Mkuu

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Martha Koome anakaribia kuandikisha historia kuwa Jaji Mkuu wa kwanza mwanamke nchini, baada ya Tume ya Huduma...

Wakili Murgor akana vikali kuwa mkorofi

Na RICHARD MUNGUTI WAKILI Philip Murgor jana alijitetea vikali dhidi ya madai kwamba ni mkorofi na mkandamizaji haki, alipohojiwa kwa...

Jaji ataka mkewe alipwe mshahara akiwa Jaji Mkuu

Na RICHARD MUNGUTI Jaji David Njagi K Marete, aliyehojiwa jana kwa nafasi ya Jaji Mkuu, aliomba serikali iwe ikimlipa mkewe mshahara kwa...

Jaji Mkuu: Uamuzi wa usiku watatiza Koome

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Martha Koome jana alijitetea mbele ya Tume ya Huduma za Mahakamani (JSC), kuhusu uamuzi aliotoa usiku na...

Msomi akiri kukiuka maadili kwenye mahojiano ya Jaji Mkuu

Na RICHARD MUNGUTI MSOMI wa masuala ya sheria anayeomba ateuliwe kuwa Jaji Mkuu, jana alifichua kwamba alitumia utafiti uliofanywa na...