Sikujua nguo nilizouziwa ni sare za kijeshi, muuzaji mitumba ajitetea kortini

Na RICHARD MUNGUTI MUUZAJI nguo kuu kuu almaarufu mitumba alishtakiwa Jumanne kwa kupatikana na sare za kijeshi. Samuel Waithaka Kamau...

Mabadiliko KDF ikiwa Mwathethe atastaafu Aprili

Na NYAMBEGA GISESA MALUTENI Jenerali wanne wa jeshi ni miongoni mwa wanaotajwa kuwa katika nafasi nzuri ya kumrithi Mkuu wa Majeshi...

Wanamaji kuandaa gwaride Mashujaa Dei

Na ANTHONY SAISI Kwa mara ya kwanza, jeshi la wanamaji la Kenya, litaandaa gwaride la heshima wakati wa sherehe za siku kuu ya Mashujaa...

Mwathethe awataka waliofuzu KMA kujizatiti kuifaa nchi

RICHARD MAOSI NA FRANCIS MUREITHI MKUU wa Majeshi nchini Jenerali Samson Mwathethe, Alhamisi aliongoza hafla ya kufuzu kwa maafisa wa...

Mwanajeshi aadhibiwa kwa kuajiri makahaba 10 jeshi likiwa kazini

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAJESHI wa kikosi cha Amerika wa kitengo cha Kapteni alivuliwa mamlaka na usimamizi wa jeshi la nchi hiyo,...

Jeshi lamulikwa kwa ununuzi wa ndege kuukuu

Na DAVID MWERE KAMATI ya Bunge kuhusu Uhasibu (PAC), inataka Wizara ya Ulinzi kueleza ilivyotumia Sh2.9 bilioni kununua ndege kuukuu za...

Juhudi za Kenya kununua ndege za kijeshi zagonga mwamba

Na BERNARDINE MUTANU MPANGO wa Kenya wa kupata ndege za kijeshi umekwama baada ya serikali kushindwa kuingia katika mkataba na wauzaji...

Jeshi latoa ahadi ya kusajili wanawake zaidi siku zijazo

[caption id="attachment_1500" align="aligncenter" width="704"] Zoezi la kuwasajili makurutu katika jeshi la Kenya eneo la Lamu Februari...

Uzani mdogo wafanya vijana kukataliwa jeshi

[caption id="attachment_1500" align="aligncenter" width="800"] Shughuli ya vijana kusajiliwa kwenye kikosi cha jeshi la Kenya (KDF) kaunti...

Wanawake watengewa nafasi 160 pekee kwenye jeshi

[caption id="attachment_1433" align="aligncenter" width="800"] Makurutu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya kusajiliwa kuingia jeshini...

Jeshi la Misri lasema limeua magaidi 12 katika operesheni

[caption id="attachment_1415" align="aligncenter" width="800"] Jeshi la Misri likilinda doria. Picha/ AFP[/caption] Na...

Juhudi za kumwondoa Rais Zuma mamlakani zashika kasi

[caption id="attachment_1410" align="aligncenter" width="800"] Wafuasi wa Kiongozi wa Chama tawala nchini Afrika Kusini Cyril Ramaphosa...