‘Jicho Pevu’ ashambulia familia ya Gavana Joho

Na WINNIE ATIENO MBUNGE wa Nyali, Bw Mohamed Ali amemkashifu Gavana wa Mombasa, Bw Hassan Joho na jamaa zake akidai wanahujumu mipango...

Hofu ya ‘Jicho Pevu’ akitaka kung’oa waziri mamlakani

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Nyali Mohammed Ali sasa ameingiwa na hofu baada ya kuwasilisha hoja ya kutaka kumng'oa afisini Waziri wa...

HAMNITISHI: Joho awajibu wakosoaji wake

MOHAMED AHMED na VALENTINE OBARA GAVANA wa Mombasa, Hassan Joho amepuuzilia mbali viongozi ambao wamekuwa wakimkosoa kwa hatua...

Joho achunguzwe kuhusu bandari – Jicho Pevu

NA SIAGO CECE MBUNGE wa Nyali, Mohammed Ali (Jicho Pevu) ameitaka Idara ya Kuchunguza Uhalifu (DCI) na ile ya Kuendesha Mashtaka (DPP)...

Hoja ya Jicho Pevu kupinga ada za mochari yapitishwa bungeni

Na CHARLES WASONGA HOSPITALI za umma sasa hazitakuwa zikiitisha malimbikizi ya ada za matibabu kwa wagonjwa watakaofariki wakitibiwa...

JAMVI: Mwaka wa kwanza bungeni ulivyomfifisha Jicho Pevu

Na VALENTINE OBARA DAU la kisiasa la Mbunge wa Nyali, Bw Mohammed Ali, linazidi kuyumbishwa na mawimbi makali, mwaka mmoja pekee baada...

Waiguru atisha kumshtaki Jicho Pevu kwa kumhusisha na wizi NYS

Na CHARLES WASONGA GAVANA wa Kirinyaga Anne Waiguru ametisha kumshtaki Mbunge wa Nyali Mohammed Ali kwa kumhusisha na sakata ya wizi wa...

‘Jicho Pevu’ azua msisimko kwa ufasaha wa lugha bungeni

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Nyali, Mohamed Ali Jumatano aliwachangamsha Wabunge wenzake kwa kutumia lugha sanifu ya Kiswahili...