Angwenyi sasa ataja mizozo ya ardhi kama chanzo cha mauaji ya washukiwa wa uchawi Kisii

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Kitutu Chache Kaskazini Jimmy Angwenyi amedai mzozo wa ardhi ndio ulichangia mauaji wa akina nyanya wanne...