Raia 100 wa kigeni wakamatwa kwa kuwa nchini bila kibali

Na MARY WAMBUI POLISI wamewakamata raia 100 wa kigeni kwa kuwa nchini kinyume cha sheria mwezi huu wa Machi pekee. Watu hao wamekamatwa...

Kampuni za ndege Afrika zakumbatia teknolojia ya paspoti za kidijitali kuokoa biashara

NA RICHARD MAOSI KAMPUNI za ndege za Afrika zimeanza kukumbatia teknolojia ya Umoja wa Afrika (AU) ya kuwapa abiria paspoti za...

Kenya yasifiwa kutumia teknolojia kuzuia kuenea kwa corona JKIA

NA LEONARD ONYANGO UMOJA wa Afrika (AU) kupitia asasi yake ya kiafya ya Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC) umeipongeza...

Wabunge 11 wahojiwa kwa kuzuru Somalia kisiri

LEONARD ONYANGO na AMINA WAKO WABUNGE 11 kutoka eneo la Kaskazini Mashariki mwa Kenya, Jumapili walinaswa na polisi mara tu baada ya...

‘Bomu’ lavuruga shughuli JKIA

Na CHARLES WASONGA ABIRIA mmoja Jumatano alikamatwa na polisi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa kueneza...

KQ haina uwezo kutwaa usimamizi wa JKIA, bunge laambiwa

Na CHARLES WASONGA MAMLAKA ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege Nchini (KAA) imepinga mpango unaoendelea wa kuiwezesha Shirika la Ndege...

Uhaba wa mafuta JKIA wapeleka ndege nchi jirani

Na GERALD ANDAE NDEGE ambazo huhudumu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) Alhamisi zililazimika kwenda katika...

Jeshi latwaa uwanja wa ndege Nairobi

Na VALENTINE OBARA JESHI la Taifa (KDF) lilichukua usimamizi wa usalama katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA)...

Mgomo watatiza shughuli JKIA

Na CHARLES WASONGA NDEGE ambazo zilikuwa zimepangiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) Jumatano...

Mgomo wa wafanyakazi watatiza usafiri wa ndege JKIA

Na PETER MBURU WASAFIRI wa ndege Jumatano waliamkia kuhangaika katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA) baada ya...

Kamati ya bunge yafukuza maafisa kwa kukosa taarifa kuhusu KQ kutwaa JKIA

Na CHARLES WASONGA KAMATI ya bunge kuhusu Uchukuzi imewafukuza maafisa kutoka kwa Wizara ya Uchukuzi, mashirika ya Kenya Airways (KQ) na...

Juhudi za JKIA kusimamia uwanja zakwama

Na BERNARDINE MUTANU WABUNGE wamekataa pendekezo la Shirika la Ndege la Kenya Airways (KQ) kutwaa uwanja wa Ndege wa JKIA kwa kuungana...