Majopo 15 yaliyoundwa na Rais yavunjwa na mahakama

Na RICHARD MUNGUTI MAJOPO 15 ambayo wanachama wake waliteuliwa na Rais Uhuru Kenyatta na mawaziri mbalimbali yatafutiliwa mbali kufuatia...

Kalonzo, Mudavadi na Weta wapinga kubuniwa kwa jopo la kuzima ufisadi

Na VALENTINE OBARA VINARA watatu wa Muungano wa NASA wamejitenga na msimamo wa mwenzao Raila Odinga, kuhusu vita dhidi ya...

MUAFAKA: Orodha ya Uhuru na Raila yapingwa vikali

Na WAANDISHI WETU UAMUZI wa Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani, Bw Raila Odinga kuteua jopokazi la watu 14 kuwashauri kuhusu...

Jopo maalum kuundwa kufanikisha muafaka wa Uhuru na Raila

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa chama cha ODM Raila amesema yeye pamoja na Rais Uhuru Kenyatta watabuniwa jopo maalum litakalowashauri...

Tobiko aunda jopokazi la kulinda misitu

Na BERNARDINE MUTANU WAZIRI wa Mazingira Keriako Tobiko ameunda jopokazi la kusimamia misitu nchini. Miongoni mwa wanakamati wa jopo hilo...