Mourinho amnunulia mchezaji wake wa AS Roma zawadi ya viatu baada ya kufunga mabao mawili dhidi ya Genoa ligini

Na MASHIRIKA KOCHA Jose Mourinho wa AS Roma alimnunulia Felix Afena-Gyan jozi ya njumu za kuchezea soka baada ya fowadi huyo chipukizi...

Mourinho apokezwa kichapo kinono zaidi katika historia yake ya ukufunzi

Na MASHIRIKA AS Roma ya kocha Jose Mourinho ilipepetwa 6-1 na Bodo/Glimt ya Norway katika mechi ya Europa Conference League mnamo...

AS Roma ya kocha Jose Mourinho yapepeta Udinese na kuingia nne-bora Serie A

Na CHRIS ADUNGO KIKOSI cha AS Roma sasa kinashikilia nafasi ya nne kwenye msimamo wa jedwali la Ligi Kuu ya Italia (Serie A) baada ya...

Mourinho aonyeshwa kadi nyekundu kwenye mechi kati ya AS Roma na Real Betis

Na MASHIRIKA KOCHA Jose Mourinho alionyeshwa kadi nyekundu katika mechi ya kirafiki iliyoshuhudia kikosi chake cha AS Roma kikisalia na...

Mourinho atua Italia kuanza kazi ya ukocha kambini mwa AS Roma

Na MASHIRIKA KOCHA Jose Mourinho alipokelewa na idadi kubwa ya mashabiki wa AS Roma mnamo Ijumaa alipotua jijini Roma tayari kuanza kazi...

Mourinho aajiriwa na AS Roma ya Italia wiki mbili baada ya kutimuliwa na Tottenham

Na MASHIRIKA JOSE Mourinho ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa kikosi cha AS Roma nchini Italia kuanzia msimu ujao wa 2021-22 na atahudumu...

Tottenham Hotspur wamfuta kazi kocha Jose Mourinho

Na MASHIRIKA KOCHA Jose Mourinho amefutwa kazi na Tottenham Hotspur baada ya kudhibiti mikoba ya kikosi hicho cha Ligi Kuu ya Uingereza...

Tottenham sasa guu moja ndani ya robo-fainali za Europa League baada ya kupepeta Dinamo Zagreb katika mkondo wa kwanza

Na MASHIRIKA FOWADI Harry Kane alifunga mabao mawili na kuwasaidia Tottenham Hotspur kupepeta Dinamo Zagreb ya Croatia 2-0 katika mkondo...

Presha ya kazi ya ukocha ni kama oksijeni kwangu – Mourinho

Na MASHIRIKA MKUFUNZI Jose Mourinho wa Tottenham Hotspur amesema presha ya kuhifadhi kazi yake kwa sasa ni kama oksijeni ambayo ni kiini...

Spurs watinga hatua ya 16-bora ya Europa League baada ya kubandua Wolfsberger ya Austria kwa mabao 8-1

Na MASHIRIKA TOTTENHAM Hotspur walitinga hatua ya 16-bora ya Europa League msimu huu baada ya kuwabandua Wolfsberger kutoka Austria kwa...

Tottenham wana matatizo mengi ambayo siwezi kutatua – Mourinho

Na MASHIRIKA KOCHA Jose Mourinho amesema kwamba kikosi chake cha Tottenham Hotspur kina matatizo mengi ambayo yeye mwenyewe hawezi...

Huu ni mwaka wa Spurs kushinda mataji na wataanza kwa Carabao Cup – Mourinho

Na MASHIRIKA KOCHA Jose Mourinho amesema ana kiu ya kushindia waajiri wake Tottenham Hotspur taji la kwanza chini ya ukufunzi wake msimu...