Jumwa asukumwa awe naibu kiongozi UDA

Na VALENTINE OBARA SENETA wa zamani wa Mombasa, Bw Omar Hassan, amependekeza kuwa Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, awe naibu kiongozi...

DPP aagizwa kufichua ushahidi wa kesi ya ufisadi dhidi ya Jumwa

Na PHILIP MUYANGA MAHAKAMA imeamuru upande wa mashtaka kufichulia washtakiwa kwa wakati ufaao ushahidi inaonuia kuutumia katika kesi ya...

Waliozua fujo watatiwa adabu au ni vitisho baridi tulivyozoeshwa?

Na WANDERI KAMAU TUME ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano (NCIC) imewaagiza wabunge 10 kufika mbele yake hapo kesho, kufuatia ghasia...

Pigo kwa Jumwa na Tangatanga wakizimwa Kadu

Na CHARLES LWANGA WANASIASA wa pwani wanaomuunga mkono Naibu Rais William Ruto wamepata pigo kuu, baada ya juhudi zao za kuzindua upya...

Chama cha Pwani ni Kadu Asili – Jumwa

Na MAUREEN ONGALA MBUNGE wa Malindi Bi Aisha Jumwa, amefichua kuwa Chama cha Kadu Asili kinapigwa msasa ili kiwe chama rasmi cha...

NCIC yasema haitawashtaki Sifuna na Jumwa

Na CHARLES WASONGA KATIBU Mkuu wa ODM Edwin Sifuna na Mbunge wa Malindi Aisha Jumwa wamesamehewa kwa kosa la kulumbana kwa kutumia...

Afueni yanukia kwa Jumwa baada ya kulala ndani siku 7

Na BRIAN OCHARO MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa anatarajiwa kurejea nyumbani leo baada ya kulala katika seli za Kituo cha Polisi cha...

Wazee wa Kaya watisha kumlaani Jumwa kwa kumtetea Sudi

CHARLES LWANGA na MAUREEN ONGALO WAZEE wa Kaya katika jamii ya Mijikenda wametishia kuwalaani viongozi wa Pwani wanaounga mkono matamshi...

Toka ODM tuunde chama chetu, Jumwa amsihi Kingi

CHARLES LWANGA na FARHIYA HUSSEIN MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa amemtaka Gavana wa Kilifi Amason Kingi aunge wito wa wabunge wa...

Jumwa apata fursa nyingine kujitafutia ubabe Pwani

Na CHARLES LWANGA MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa amepata fursa nyingine kujitafutia ubabe wa kisiasa, baada ya Spika wa Bunge la...

Kikao cha Raila na Jumwa chazua mihemko mitandaoni

Na CECIL ODONGO MBUNGE wa Malindi Aisha Jumwa Jumanne aliwaacha Wakenya na maswali mengi baada ya kukutana na kinara wa upinzani Raila...

ODM kumpokonya Jumwa nafasi yake PSC

Na CHARLES WASONGA HATIMA ya Mbunge wa Malindi Bi Aisha Juma kama kamishna wa Tume ya Huduma za Bunge (PSC) sasa imo hatarini baada ya...