Kocha Jurgen Klopp asema ataondoka Liverpool mnamo 2024

Na MASHIRIKA KOCHA Jurgen Klopp amefichua mpango wa kuondoka Liverpool mnamo 2024 mkataba wake wa sasa na miamba hao wa Ligi Kuu ya...

Kocha wa Senegal amtaka Klopp aheshimu AFCON

Na MASHIRIKA MKUFUNZI wa timu ya taifa ya Senegal, Aliou Cisse, amemcharukia kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp, kwa kudunisha hadhi ya...

Klopp na Pep watofautiana kuhusu pendekezo la Kombe la Dunia kuandaliwa kila baada ya miaka miwili

Na MASHIRIKA KOCHA Jurgen Klopp wa Liverpool na Pep Guardiola wa Manchester City wametofautiana kuhusu mipango ya kuandaliwa kwa fainali...

Klopp afutilia mbali uwezekano wa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Ujerumani

Na MASHIRIKA KOCHA Jurgen Klopp wa Liverpool amefutilia mbali uwezekano wa kuwa mrithi wa mkufunzi Joachim Loew atakayeagana rasmi na...

Dalili Klopp yuko karibu kuagana na Liverpool

Na MASHIRIKA KOCHA Jurgen Klopp wa Liverpool amekiri kwamba anapitia mmojawapo wa misimu migumu mno, ya kufikirisha sana na ya...

Liverpool hawatajishughulisha sana sokoni mwishoni mwa msimu huu wa 2020 hadi 21 – Klopp

Na MASHIRIKA KOCHA Jurgen Klopp amesema kwamba kikosi chake cha Liverpool hakitahitaji kusajili idadi kubwa ya wanasoka kwa minajili ya...

COVID-19: Kocha Jurgen Klopp akosa kusafiri Ujerumani kuhudhuria mazishi ya mama yake mzazi

Na MASHIRIKA KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp hakuweza kurejea nchini Ujerumani kwa minajili ya mazishi ya mamaye mzazi mnamo Februari...

EPL: Liverpool wajifufua ugenini wakipiga tena Tottenham Hotspur

Na MASHIRIKA LIVERPOOL walifufua makali yao kwenye kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) muhula huu kwa kuwapepeta Tottenham Hotspur...

Liverpool hawatasajili mchezaji yeyote muhula huu wa Januari 2021 – Klopp

Na MASHIRIKA LICHA ya Liverpool kukosa huduma za mabeki tegemeo Virgil van Dijk na Joe Gomez kwa muda mrefu katika kampeni za msimu huu,...

Klopp awapiku Lampard, Rodgers na Wilder kwenye tuzo za kocha bora wa mwaka katika EPL

Na CHRIS ADUNGO KOCHA Jurgen Klopp wa Liverpool ametawazwa Kocha Bora wa Mwaka katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu wa...

Klopp awataka mashabiki wa Liverpool kuvuta subira

Na CHRIS ADUNGO KOCHA Jurgen Klopp amewataka mashabiki wa Liverpool kusubiri zaidi hadi “wakati mwafaka” utakapowadia ili...

Klopp apinga pendekezo la gozi kati ya Manchester City na Liverpool kuchezewa kwingineko mbali na Etihad

Na CHRIS ADUNGO KOCHA Jurgen Klopp amepinga pendekezo la gozi la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kati yao na Manchester City kuchezewa...