Jinsi Spika Justin Muturi alivyosherehekea na akina mama waliojifungua Siku ya Wanawake Duniani

NA WINNIE ONYANDO SPIKA wa Bunge la Kitaifa, Justin Muturi, Jumanne alisherehekea Siku ya Wanawake Duniani kwa kutenga muda na...

Tangatanga wavuruga hoja ya kuunda kamati ya bajeti

Na CHARLES WASONGA HUENDA uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022 ukakosa kufanyika na shughuli za serikali kukwama kutokana na kutopitishwa kwa...

Shughuli za Bunge kukwama maspika wakishiriki kampeni za uchaguzi

Na CHARLES WASONGA TAASISI ya Bunge itapitia kipindi cha aina yake mwaka 2022 kwa sababu, kwa mara ya kwanza katika historia ya taifa...

Muturi aahidi kutumia wahitimu wasio na ajira katika vita dhidi ya ufisadi

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi ameahidi kwamba akichaguliwa kuwa Rais wa tano wa taifa atatumia wahitimu...

Muturi yuko ngangari kuwania urais

Na WACHIRA MWANGI SPIKA wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi anasisitiza kuwa hatajiondoa kutoka kinyang’anyiro cha urais huku...

Muturi atetea MCAs kuhusu digrii

Na KNA SPIKA wa Bunge la Kitaifa, Justin Muturi, ameunga uamuzi wa Mahakama kwamba, wagombeaji udiwani hawahitaji kuwa na digrii. Bw...

Muturi aahidi vijana makuu akichaguliwa rais

Na CHARLES WANYORO Spika wa Bunge la Taifa, Justin Muturi, ameahidi kuteua vijana katika nyadhifa muhimu katika serikali yake iwapo...

DP yamteua Spika Muturi kuwa mgombeaji urais

Na KENYA NEWS AGENCY CHAMA cha Democratic Party (DP) kimemteua Spika wa Bunge la Kitaifa, Justin Muturi kuwa mgombeaji wake wa urais...

Waliosuka majonzi ya Wakenya mwaka 2018

Na CHARLES WASONGA MNAMO Agosti 21, 2018, Rais Uhuru Kenyatta, Kiongozi wa ODM Raila Odinga na Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi...

Muturi atoa ishara anaelekea kwa Ruto

Na WANDERI KAMAU MIENENDO na semi za kisiasa za Spika Justin Muturi wa Bunge la Kitaifa katika siku za hivi karibuni, zimeashiria kwamba...

Vilio vya Muturi, Waiguru vyazua maswali mengi

Na BENSON MATHEKA MASWALI yameibuka kuhusu madai ya Spika wa Bunge la Taifa, Bw Justin Muturi na Gavana wa Kirinyaga, Anne Waiguru...

Muturi adai uhasama umeathiri Bunge

Na WANDERI KAMAU SPIKA wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi, Alhamisi alikiri kuwa tofauti za kisiasa kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Naibu...