RWANDA: Mshukiwa wa mauaji ya halaiki ya 1994 Felicien Kabuga akamatwa nchini Ufaransa

CHARLES WASONGA na MASHIRIKA PARIS, Ufaransa MUUNGANO wa walionusurika na wahasiriwa wa mauaji ya halaiki nchini Rwanda mnamo 1994...