Wamiliki wa matatu wachangamkia kuondolewa kwa kafyu

Na CHARLES WASONGA WAHUDUMU wa matatu wametangaza kuwa watarejelea safari za usiku kuanzia leo Alhamisi baada ya Rais Uhuru Kenyatta...

Furaha kuu kafyu ikiondolewa

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE Rais Uhuru Kenyatta, Jumatano Oktoba 20, 2021 ametangaza kuondolewa kwa amri ya kutotoka nje nyakati za...

Uhuru adokeza kuwa huenda akaondoa kafyu

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta amedokeza kuwa huenda akaondoa kafyu hivi karibuni. Kiongozi wa taifa ambaye alikuwa...

Kafyu itaondolewa karibuni, asema Balala

Na MWANDISHI WETU WAZIRI wa Utalii, Bw Najib Balala amedokeza kuwa kafyu ambayo imedumu nchini tangu mwaka 2020 itaondolewa baada ya...

Kafyu: Raia kuumia zaidi vigogo wakieneza corona kijeuri

Na WANDERI KAMAU WAKENYA wanaotegemea biashara za usiku kujitafutia riziki wataendelea kuteseka baada ya serikali kuongeza muda wa kafyu...

Amref yamtaka Uhuru aondoe kafyu

Na LEONARD ONYANGO SHINIKIZO la kumtaka Rais Uhuru Kenyatta kuondoa agizo la watu kutokuwa nje usiku (kafyu) zinaongezeka.Shirika la...

Wadau walia sheria za Covid zawafinya

WINNIE ATIENO na ALEX KALAMA BAADHI ya wananchi wameilaumu serikali kwa kuendelea kuweka kanuni kali za kuepusha maambukizi ya virusi...

Corona: Kagwe atoa afueni kwa kaunti 13 za magharibi mwa Kenya

Na CHARLES WASONGA SERIKALI sasa imebadilisha saa za kafyu katika kaunti 13 katika maeneo yanayopakana na Ziwa Victoria ambayo yalitajwa...

Saa za kafyu zaongezwa kaunti 13 zilizoko Magharibi, Nyanza

Na CHARLES WASONGA SERIKALI imeongeza muda wa kafyu katika kaunti 13 zilizoko Magharibi mwa Kenya kama hatua ya kuzuia kuenea kwa virusi...

Kafyu ya unyama

Na WAANDISHI WETU SERIKALI imewashangaza Wakenya kuhusu busara ya kihayawani iliyotumia kulazimisha maelfu ya wakazi wa Nairobi kulala...

Wataalamu wakiri kafyu ya mapema haina hata umuhimu

Na CHARLES WASONGA WATAALAMU wa afya wameonya kuhusu ongezeko la maambukizi ya corona katika maeneo ya Nairobi, Kiambu, Kajiado, Nakuru...

Kang’ata amtaka Matiang’i arekebishe notisi yake ya saa za kafyu

Na MWANGI MUIRURI SENETA wa Murang'a, Irungu Kang'ata amemtaka Waziri wa Usalama wa Ndani Dkt Fred Matiang'i arekebishe notisi katika...