MCA asikitishwa na wakulima kuendelea kuasi kahawa

Na SAMMY WAWERU DIWANI wa wadi ya Murera, Ruiru, John Wokabi ameelezea kusikitishwa kwake na kuendelea kudorora kwa kilimo cha kahawa...

Wakulima wa kahawa kusubiri zaidi viwanda vikarabatiwe

Na GITONGA MARETE WAKULIMA wa kahawa katika Kaunti ya Meru watalazimika kusubiri kwa muda zaidi viwanda vya kahawa vilivyoko katika hali...

‘Unywaji wa kahawa una madhara pia’

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com UNYWAJI wa kahawa umezoeleka na ukawa ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Kemikali...

CHARLES WASONGA: Wakuzaji kahawa wapate hamasisho kuhusu kanuni mpya

Na CHARLES WASONGA KUTUPILIWA mbali kwa kesi iliyopinga utekelezaji wa mageuzi mapya katika sekta ya kahawa ni hatua ya kuchangamkiwa,...

Serikali yaonya wasimamizi wa vyama vya kahawa

IRENE MUGO Na STEPHEN MUNYIRI WAZIRI wa Kilimo Peter Munya ameonya kuwa bodi za vyama vya ushirika ambazo zitazuia wakulima kupata pesa...

Mapendekezo ya kulainisha sekta ya kahawa

Na LAWRENCE ONGARO WAKULIMA wa kahawa watapata afueni baada ya kuwekwa mapendekezo ya kulainisha sekta hiyo. Mnamo Jumamosi Waziri wa...

Mikakati iwekwe kuboresha kilimo cha pareto na kahawa, asema mbunge

Na LAWRENCE ONGARO WIZARA ya Kilimo inastahili kuweka sheria mpya zitakazochangia katika kufufua na kuboresha zao la pareto na...

LISHE NA VINYWAJI: Ni faida zipi mtu anapata kwa kunywa kahawa?

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KAHAWA ni kinywaji maarufu na kinachopendwa sana na watu wengi. Kupendwa kwa kinywaji...

VIJANA NA ZARAA: Wadau wahimiza vijana kujitosa katika kilimo cha kahawa, wasitegemee serikali

Na BENSON MATHEKA KILIMO cha kahawa nchini hakitarudia hali yake ya zamani ikiwa vijana hawatahusishwa kikamilifu, wadau...

Nzige sasa waanza kutafuna kahawa

Na GEORGE MUNENE WAKULIMA wa kahawa katika kaunti ya Kirinyaga wamejawa na hofu baada ya nzige kuvamia mashamba kadhaa. Wakulima hao...

Wakuzaji kahawa Kirinyaga kufaidi ushirikiano na India

Na GEORGE MUNENE WAKULIMA wa kahawa wanatarajiwa kupata faida iwapo ushirikiano kati ya serikali ya kaunti ya Kirinyaga na wanunuzi...

Wakulima wavuruga kikao cha jopokazi la kahawa

Na GEORGE MUNENE na DAVID MUCHUI MKUTANO uliokuwa umeitishwa na Jopokazi Malum Kuhusu Kahawa ulitibuka mnamo Ijumaa, baada ya wakulima...