Oparanya apanga kuachia serikali kuu ujenzi wa hospitali ya rufaa

Na BENSON AMADALA SERIKALI ya Kaunti ya Kakamega inapanga kukabidhi Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Kakamega kwa serikali kuu, ili...

Hatimaye mitihani yaanza kwa KCPE

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha amewahakikishia watahiniwa na wazazi kwamba mikakati imewekwa kulinda karatasi za...

Wazazi wa wanafunzi waliofariki Kakamega hawajapokea pesa zilizochangwa kuwasaidia

Na CHARLES WASONGA WAZAZI wa wanafunzi 15 wa Shule ya Kakamega waliofariki katika mkanyagano shuleni humo hawajapokea fedha zilikusanywa...

Wito jopo liundwe kuchunguza vifo vya wanafunzi 14

DERICK LUVEGA NA WANDERI KAMAU SWALI "ni nini kilichosababisha vifo vya wanafunzi 14 wa shule ya Msingi ya Kakamega" ndilo lililotawala...

Hoteli Kakamega zatarajia mavuno Mashujaa Dei

Na BENSON AMADALA Wamiliki wa hoteli mjini Kakamega wamesema kuwa wamejitayarisha vya kutosha kuvuna kutokana na hafla ya kuadhimisha...

Kongamano la Ugatuzi: Wachuuzi na bodaboda walia kutengwa

Na SHABAN MAKOKHA WACHUUZI na wanabodaboda mjini Kakamega wamelalamika kwamba Kongamano la Ugatuzi linaloendelea katika Shule ya Upili...

Madiwani wapewe mamlaka ya kuchunguza magavana – Murkomen

Na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa wengi katika seneti Kipchumba Murkomen, Jumanne aliwachangamsha madiwani wanaohudhuria Kongamano la Ugatuzi...

Kongamno la Ugatuzi: Uhuru ahutubia wajumbe kidijitali

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumanne alikosa kufika katika kongamano la tano wa Ugatuzi ulioandaliwa mjini Kakamega. Gavana wa...

Kongamano la Ugatuzi: Wajumbe wakerwa na kujikokota kwa usajili

BENSON AMADALA na DERRICK LUVEGA WAJUMBE na Wageni wanaohudhuria Kongamano la Ugatuzi katika Kaunti ya Kakamega walilalamikia kujikokota...

Raila atakiwa kutangaza ‘Mudavadi Tosha 2022’ kisha astaafu

Na WAANDISHI WETU BAADHI ya wabunge kutoka katika jamii ya Waluhya wanataka kinara wa Nasa Raila Odinga kustaafu siasa na kumtangaza ...

Hospitali yakataa kuachilia maiti ikazikwe

Na SHABAN MAKOKHA FAMILIA moja katika eneo la Lurambi kaunti ya Kakamega inaomba msaada wa zaidi ya Sh2.3 milioni kulipia gharama za...

UTAMADUNI: Eneo ambako kina baba na watoto hutengewa titi kunyonya

Na SHABAN MAKOKHA Kwa ufupi: Wanaume wa Butere wafichua kwamba wao hunyonya matiti za wake zao ili kuondoa mikosi na kuzuia...