Wanafunzi wazimia shuleni kwa njaa

Na KENYA NEWS AGENCY HOFU ilitanda katika Shule ya Msingi ya Kalimamundu, Kaunti Ndogo ya Kyuso, Kaunti ya Kitui, baada ya wanafunzi...