Hii kafyu inaumiza wananchi – Kalonzo

Na MWANGI MUIRURI KINARA wa Wiper Democratic Movement amemtaka Rais Uhuru Kenyatta awajibikie utathimini upya kwa upana mikakati...

Mutua alia Kalonzo ameteka BBI Ukambani

Na Pius Maundu GAVANA wa Machakos Dkt Alfred Mutua amemlaumu kinara wa Wiper, Bw Kalonzo Musyoka, kwa kuteka mchakato wa kurekebisha...

Wewe si ‘hasla’, ulikuwa karibu na Mzee Moi hata kuliko Gideon Moi, Kalonzo amwambia Ruto

Na SAMMY WAWERU Kiongozi wa chama cha Wiper Bw Kalonzo Musyoka amemsuta Naibu wa Rais William Ruto kuhusu kauli yake ya...

Wafalme wa kudandia madaraka

Na BENSON MATHEKA KINARA wa chama cha Amani National Congress (ANC) Wycliffe Musalia Mudavadi, anaweza kuwa mmoja wa wanasiasa wachache...

KALONZO ABURUTA RUTO TOPENI

Na BENSON MATHEKA Vita vya maneno kati ya Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kuhusu madai ya...

Tuliteua Bi Kavindu kwa misingi ya sifa za uongozi – Kalonzo

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Wiper Kalonzo Musyoka amefafanua kuwa chama hicho hakijaongozwa na nia ya kuvunja familia kwa Bi Agnes...

Kalonzo amponda Ruto kwa kupinga wazo la urais wa mzunguko

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Wiper Kalonzo Musyoka ndiye kiongozi wa hivi punde kuunga mkono pendekezo la Rais Uhuru Kenyatta kwamba...

Uchaguzi mdogo wa useneta Machakos mtihani kwa umaarufu wa Kalonzo

Na BENSON MATHEKA Uchaguzi mdogo wa kiti cha useneta katika Kaunti ya Machakos utakuwa mtihani kwa umaarufu wa vyama na vigogo wa...

CECIL ODONGO: Muungano wa Kalonzo hauna ushawishi kisiasa

Na CECIL ODONGO MUUNGANO wa kisiasa unaopangwa kati ya baadhi ya viongozi wanaoongozwa na Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka na mwenzake wa...

Msinidharau Mswambweni – Kalonzo

Na CECIL ODONGO KINARA wa Chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka jana alipuzilia mbali wanaodai kwamba kiny’ang’anyiro cha kuwania ubunge...

Kalonzo akaangwa kwa kuchochea ukabila

Na LUCY MKANYIKA KIONGOZI wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, amekashifiwa vikali kwa matamshi yake kwamba watu kutoka jamii ya Wakamba...

Kalonzo atetea Uhuru kukopa mabilioni

Na LUCY MKANYIKA KINARA wa Chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ametetea hatua ya serikali kuendelea kuchukua mIkopo kutoka nchi za nje licha...