Ibada iliyoangusha kampuni za kamari za Betin, SportPesa

Na PAUL WAFULA MASAIBU ya kampuni ya SportPesa na kampuni nyingine za uchezaji kamari yalianza Mei mwaka uliopita, baada ya ibada moja...

Kamwe serikali haitaruhusu kamari kurejea – Matiang’i

NA FAUSTINE NGILA Waziri wa Masuala ya Ndani Fred Matiang’i Ijumaa alisema kuwa serikali kamwe haitalegeza sheria za kamari...

Bendtner akiri alipata funzo la mwaka kupoteza Sh700m katika kamari

Na GEOFFREY ANENE MSHAMBULIAJI wa zamani wa Arsenal, Nicklas Bendtner amesimulia jinsi alivyopata funzo kali katika mchezo wa karata...

COVID-19: Kampuni za kamari zatoa mchango wa Sh5m ziwafae wanamichezo

Na GEOFFREY ANENE CHAMA cha kampuni za kamari nchini Kenya kimeongeza Sh5 milioni katika mfuko wa serikali wa kusaidia wanamichezo...

Pombe, mitambo ya kamari na bangi yateketezwa Thika

Na LAWRENCE ONGARO WALANGUZI wa dawa za kulevya, watengenezaji pombe haramu na wachezaji kamari wamepewa ilani wajiondoe kwa biashara...

Waliomlaghai mama Sh40,000 wauawa na umati

Na SAMMY KIMATU skimatu@ke.nationmedia.com WANAUME wawili walioshukiwa kumlaghai mwanamke Sh40,000 walipigwa na kuuawa na umma baada...

BBI: Mashirika ya kamari ya kibinafsi kuharamishwa

Na LEONARD ONYANGO KAMPUNI za kamari za kibinafsi huenda zikapigwa marufuku nchini endapo ripoti ya BBI itatekelezwa na...

Sportpesa yaruhusiwa kerejelea biashara

NA BRIAN OKINDA bokinda@ke.nationmedia.com KAMPUNI ya Sportpesa imejiunga na baadhi ya kampuni zingine za kamari nchini...

Uhuru akaa ngumu kuhusu marufuku ya kampuni za kamari

Na ANITA CHEPKOECH WARAIBU wa mchezo wa kamari wataendelea kuumia kiuchumi, baada ya Rais Uhuru Kenyatta kusema kwamba kampuni za...

Kampuni za kamari ziruhusiwe kuendelea kuhudumu – Maseneta

Na CHARLES WASONGA MASENETA wameitaka serikali kuziruhusu kampuni za kamari ambazo leseni zao zilifutiliwa mbali kuendelea na shughuli...

Maseneta waitaka serikali kurejesha leseni za kampuni za kamari zilizozimwa

Na CHARLES WASONGA MASENETA wameitaka serikali kuziruhusu kampuni za kamari na ubashiri ambazo leseni zao zilifutiliwa mbali kuendelea...

Maoni ya wananchi kuhusu kamari

BERNARD ROTICH na WYCLIFF KIPSANG WANANCHI wametoa maoni mseto kuhusu michezo ya kamari, baadhi wakitaka sheria zilegezwe huku wengine...