Harrison Mwendwa katika rada kali ya AFC Leopards

Na CHRIS ADUNGO AFC Leopards wamejitosa rasmi katika vita vya kuwania huduma za fowadi matata wa Kariobangi Sharks, Harrison Mwendwa,...

Mastaaa wa Kariobangi kujiunga na Yanga

NA CHRIS ADUNGO KARIOBANGI Sharks wamekiri kwamba hawatawazuia nyota wao wawili Sven Yidah na Harrison Mwendwa kujiunga na Yanga SC...

Hatuwaogopi hao Kariobangi Sharks – KCB

JEFF KINYANJUI na JOHN ASHIHUNDU KOCHA Zedekiah Otieno 'Zico' leo Ijumaa alasiri ana kibarua kigumu kuongoza kikosi chake cha Kenya...

Bwire shujaa akiongoza Sharks kurarua Everton mbele ya mashabiki 64,000

Na GEOFFREY ANENE Wenyeji Kariobangi Sharks walijikakamua mbele ya mashabiki wao na kulemea mabingwa mara tano wa Kombe la FA Everton...

Kariobangi Sharks waanza vizuri safari ya kutetea taji la SportPesa Shield

Na GEOFFREY ANENE KARIOBANGI Sharks wameanza kutetea taji la soka ya SportPesa Shield kwa kishindo Jumamosi baada ya kupapura wenyeji...

Sharks kutetea ubingwa wa SportPesa Shield

Na GEOFFREY ANENE KARIOBANGI Sharks itatetea ubingwa wake wa soka ya SportPesa Shield itakayoanza Machi 1 na kutamatika Juni 1 mwaka...

Sharks yarejea mazoezini kujiandaa kwa mlima wa KPL

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA wapya wa soka ya kimataifa ya SportPesa Super Cup, Kariobangi Sharks wamerejea nchini na kurejelea mazoezi bila...

Asante Kokoto yataja kikosi chake dhidi ya Kariobangi Sharks

Na GEOFFREY ANENE ASANTE Kotoko Jumatatu imetaja kikosi chake cha wachezaji 18 kitakachozuru Kenya kumenyana na Kariobangi Sharks katika...

Pongezi kwa Kariobangi Sharks kushinda Kombe la Ngao ya FKF

Na CECIL ODONGO RAIS wa Shirikisho la soka nchini(FKF) Nick Mwendwa ameipongeza timu ya Kariobangi Sharks kwa kushinda Kombe la ngao ya...

Matano kumkosa difenda matata dhidi ya Kariobangi Sharks

Na CECIL ODONGO KLABU ya Tusker itakosa huduma za mlinzi wake matata Erick Ambunya katika mechi yao ya KPL siku ya Jumapili dhidi ya...