Uangalizi mdogo, mahitaji machache msukumo tosha wa kukuza karoti

NA RICHARD MAOSI Zao la karoti linahitaji uangalizi mdogo, hivyo basi mkulima anaweza kupata nafasi ya kufanya shughuli nyinginezo za...

Vyakula vinavyoweza kuwasaidia wagonjwa wa kisukari

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com Parachichi PARACHICHI linajulikana kwa kuwa na mafuta mazuri kwa ajili ya...

AKILIJIBU: Ningependa kuelimishwa kuhusu umuhimu wa kula karoti

Na CHRIS ADUNGO SWALI: Jina langu ni Rebecca Sanya kutoka Soy. Nimekuwa mkulima wa karoti kwa muda sasa. Ingawa hivyo, wingi wa zao hili...

KILIMO CHA FAIDA: Karoti ina mazao mengi hata ikikuzwa kwenye kipande kidogo cha ardhi

Na GRACE KARANJA KAROTI ni zao la jamii ya mizizi na mojawapo ya mboga zinazokuzwa na kuliwa sana nchini Kenya. Kwa kawaida...

ULIMBWENDE: Cha kutumia ili kuondoa mikunjo ya ngozi

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com WANAWAKE wengi wanakabiliwa na tatizo la mikunjo katika ngozi. Tofauti na mikunjo ya...

AKILIMALI: Utaalamu wa kukuza karoti zitakazovutia wengi sokoni

Na RICHARD MAOSII KAROTI ni zao la mbogamboga ambalo aghalabu hupatikana ndani ya mchanga kwenye maeneo yenye miinuko na baridi ya kadri...

SIHA NA LISHE: Manufaa mbalimbali ya karoti

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com WATU wengi wanapenda kutumia karoti kupika mboga au nyama. Wataalamu wa masuala ya...

MAPISHI: Keki ya karoti

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KUANDAA: Dakika 20 Mapishi: Dakika 60 Walaji : 4 Vinavyohitajika Mayai manne ...