KASHESHE: Toto ajitetea

NA SINDA MATIKO MREMBO anayezidi kufanya vizuri Nikita Kering amefichua mustakabali wa mahusiano yake ikiwa ni siku chache tu baada ya...

KASHESHE: Vannyboy arusha jiwe

NA SINDA MATIKO MWANAMUZIKI Rayvanny karusha jiwe gizani kwa kudai kwamba toka ameondoka WCB Wasafi, sanaa yake imekua hata...

KASHESHE: Kimenuka Wasafi

NA SINDA MATIKO KUNA demu aitwaye Aaliyah ambaye kwa kipindi kirefu amedaiwa kuwa side-chic wa Diamond Platnumz. Sasa baada ya stori...

KASHESHE: ‘Mnikome!’

NA SINDA MATIKO ALIYEKUWA mke wake Rayvanny, amewataka mashabiki kuacha kumchamba baada ya uhusiano wao kuvunjika. Rayvanny alimtema...

KASHESHE: Diana B atakiwa afute kabisa mkanda

Na THOMAS MATIKO MAHAKAMA imetishia kumchukulia hatua kali mke wa msanii Kevin Bahati, endapo hataifuta video aliyopakia YouTube, akidai...

KASHESHE: ‘Siri ya ndoa kunyenyekea’

Na PAULINE ONGAJI NYOTA wa injili Mercy Masika kafichua siri moja ya kuhakikisha ndoa inadumu kwa muda mrefu ni pale mwanamke anapokuwa...

KASHESHE: Akanusha kuvaa vigodoro

Na THOMAS MATIKO HAMISA Mobetto kakanusha madai kuwa shepu yake ya kama chupa ya Coca Cola vile, sio yake ile kafanyiwa...

KASHESHE: Eti angeishia kuwa dereva wa trela

Na THOMAS MATIKO KWA wasanii wengi kama sio muziki, wangekuwa wakifanya kazi nyingine za kitaaluma zaidi. Kwa mfano Nameless ni...

KASHESHE: Sioni tena nikiwahi kuwa mke wa mtu!

Na THOMAS MATIKO MTANGAZAJI staa wa televisheni Betty Kyalo kakata kauli kuwa katu hawezi kukubali kuwa mke nyumbani. Betty ambaye...

KASHESHE: Amtolea povu Ex wake

Na THOMAS MATIKO NYOTA wa Bongo Flava Harmonize ameamua kumchomea picha demu wake wa zamani mwigizaji Jacqueline Wolper kufuatia madai...

KASHESHE: Nadia ayapa kisogo mapenzi

Na THOMAS MATIKO MWANAMUZIKI Nadia Mukami kachorea masuala ya mahusiano kwa sasa ili kujenga taaluma yake. Msupa huyo mwenye umri wa...

KASHESHE: Akanyagia stori kijanja

Na THOMAS MATIKO KICHUNA mwigizaji maarufu kule Bongo, Wema Sepetu kafunguka kuhusiana na taarifa kwamba mpenzi wake mpya kwa jina...