Kanisa Katoliki lapinga refarenda ya kujali wachache

Na LEONARD ONYANGO KANISA Katoliki limewataka Wakenya kukataa jaribio la kutaka kurekebisha Katiba kwa manufaa ya wanasiasa...

TANZIA: Askofu Mstaafu Ndingi Mwana’a Nzeki afariki

NA FAUSTINE NGILA Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa Katoliki Ndingi Mwana a' Nzeki amefariki jijini Nairobi Jumanne asubuhi akiwa na miaka...

Kanisa Katoliki laonya kuhusu kikundi potovu Nairobi

Na NDUNGU GACHANE KANISA Katoliki jijini Nairobi limeonya kuhusu kikundi haramu ambacho kinashinikiza umma kukumbatia tamaduni potovu...

Kanisa Katoliki lapiga marufuku nguo za kubana mwili kanisani

NA SAMMY KIMATU KANISA Katoliki lililo jijini Nairobi limeshangaza wengi kwa kuchapisha na kutundika bango langoni kuhusu mavazi ambayo...

Kanisa Katoliki lawarai Wakenya kufaana maishani

NA RICHARD MAOSI DAYOSISI ya Kanisa Katoliki Nakuru Jumapili iliandaa misa maalum katika shule ya wasichana ya Nakuru, kuadhimisha siku...

Msimtarajie Yesu kurudi duniani, kadinali wa katoliki aambia waumini

NA MASHIRIKA  MSEMAJI kutoka Vatican ameshangaza kutangaza rasmi kuwa kurejea kwa Yesu Kristo mara ya pili kunaweza kukosekana baada ya...

Wakatoliki wasafiri Uganda kuwakumbuka wenzao 22 waliouawa

NA RICHARD MAOSI WAUMINI wa dhehebu la kanisa Katoliki kutoka Kenya wamefikisha siku 20 tangu waanze rasmi safari ya miguu kutoka...

Ni dhambi kuu kutumia kondomu, Kanisa Katoliki laonya

Na WINNIE ATIENO KANISA Katoliki limesema kamwe halitokubali waumini wake kukumbatia matumizi ya kondomu licha ya takwimu kuonyesha...