KAULI YA MATUNDURA: Baadhi ya tamathali za usemi ambazo ndilo shina la uhai wa lugha

Na BITUGI MATUNDURA JUMA lililopita, nilidai kwamba matumizi ya tamathali ya usemi huipa uhai insha au kazi yoyote ya...

KAULI YA MATUNDURA: Jinsi ya kumtambua mwandishi chipukizi wa tungo za kibunifu

Na BITUGI MATUNDURA HATUA ya kutangazwa kwa orodha fupi ya wanaowania tuzo ya Mabati-Cornell Kiswahili Prize for African Literature –...

KAULI YA MATUNDURA: Mapema mno kusherehekea mchakato wa kubuniwa kwa Baraza la Kiswahili la Kenya

Na BITUGI MATUNDURA KATIKA kipindi cha mwezi mmoja uliopita, matukio matatu yalizua msisimko katika ulimwengu wa Kiswahili. Kwanza,...

KAULI YA MATUNDURA: Ken Walibora anavyoendeleza taswira ya uana katika ‘Mgomba Changaraweni’

Na BITUGI MATUNDURA 'MGOMBA Changaraweni' ni mojawapo ya kazi nyingi za fasihi alizotunga Ken Walibora. Marehemu Walibora alifahamika...

KAULI YA MATUNDURA: Mashekhe wanachangia kudorora kwa matokeo ya Kiswahili Pwani ya Kenya?

Na BITUGI MATUNDURA KATIKA makala yangu yaliyochapishwa kwenye Taifa Leo Juni 16, 2021) niliahidi kuendeleza majadiliano ya wataalamu wa...

KAULI YA MATUNDURA: Shabaan Robert na Muyaka walinyanyasa na kudhulumu wanawake katika tungo zao?

Na BITUGI MATUNDURA NILIPOHUDHURIA Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Kila mwaka jijini Nairobi mnamo 2018, nilizuru ‘kibanda’ cha...

KAULI YA MATUNDURA: Wataalamu wa Kiswahili wamuenzi galacha, mwalimu na mlezi wa wengi Prof Ireri Mbaabu

Na BITUGI MATUNDURA JUMA lililopita, hafla mbalimbali za kumuenzi na kumsherehekea mwalimu wa wengi – Prof George Ireri Mbaabu...

KAULI YA MATUNDURA: Mshabaha kati ya Rais Magufuli na Kinjeketile Ngwale wa mwanatamthilia Ebrahim Hussein

Na BITUGI MATUNDURA HAIWEZEKANI kamwe kushiriki diskosi ya siasa za Afrika ya Mashariki katika siku za hivi punde bila angalau kulitaja...

KAULI YA MATUNDURA: Kanuni za Kudumu za Bunge hazitasaidia sana ikiwa Baraza la Kiswahili la Kenya halitaundwa

Na BITUGI MATUNDURA MNAMO Novemba 12, 2020, kwenye hafla ya Hotuba ya Rais Kwa Taifa, Rais Uhuru Kenyatta alizindua tafsiri ya Kiswahili...

KAULI YA MATUNDURA: Walibora alivyopagazwa wizi wa miswada

Na BITUGI MATUNDURA MAKALA ya mwandishi Ken Walibora ‘Ukarimu wa Wallah katika tasnia pana ya Kiswahili’ (Taifa Leo, Machi 9, 2017)...

Buriani mwanasafu mwenza Ken Walibora – Bitugi Matundura

NA BITUGI MATUNDURA KIPINDI kati ya miaka ya 1980 hadi 1990 kilikuwa ni kipindi kigumu mno kwa fasihi ya Kiswahili kwa jumla na hususan...

KAULI YA MATUNDURA: Mazingira ya kisiasa na kiuchumi katika riwaya ya ‘Haini’ yake Shafi Adam Shafi

Na BITUGI MATUNDURA HII ni awamu ya nne ya makala kuhusu riwaya ya 'Haini' iliyoandikwa na Shafi Adam Shafi. Mnamo 1982, mtaalamu...