Uhuru na Ruto waungana na wapenzi wa Kiswahili kumwomboleza Prof Walibora

Na HASSAN WEKESA RAIS Uhuru Kenyatta na naibu wake Dkt William Ruto wameungana na wapenzi wa Kiswahili kutuma salamu za pole kwa familia...

TANZIA: Mwanafasihi mtajika Prof Ken Walibora afariki

NA FAUSTINE NGILA HUZUNI imetanda miongoni mwa wapenzi wa lugha ya Kiswahili na fasihi kwa jumla baada ya mwandishi maarufu Prof Ken...

KINA CHA FIKIRA: Enyi watafiti, mada za kuzamia zi tele tusibane mawazo

Na KEN WALIBORA JUMA lililopita nilifanya makosa makubwa katika safu hii ya Kauli ya Walibora. Niliuita uwanja wa kimataifa wa ndege...

KAULI YA WALIBORA: Tusiogope kuzungumza Kiswahili kwa kuchelea kutoeleweka na wageni

NA PROF KEN WALIBORA UBALOZI wa Tanzania nchini Ufaransa uliandaa kongomano kukipigia upatu Kiswahili majuzi yale. Hafla hiyo ilihusisha...

WALIBORA: Uvumbuzi wa Kiafrika kwa matatizo yao ni hatua kubwa

Na KEN WALIBORA Kudidimia kwa utashi wa bidhaa za Afrika nchini Marekani, Ulaya na kwingineko kumechochea ari ya nchi za Kiafrika...

KINA CHA FIKIRA: Chipukizi wenye raghba ya kuandika wajihimu kuyajua mengi kuhusu fani ya uandishi

Na KEN WALIBORA BAADA ya kutoka kituo cha habari cha Nation Centre katika barabara ya Kimathi jijini Nairobi miaka miwili iliyopita,...

KINA CHA FIKIRA: Uhasama na mihemko ya kitaifa na kizalendo inavyotishia mustakabali wa lugha ya Kiswahili

Na KEN WALIBORA NOAH Webster alibaini kwamba si tu Kiingereza cha Marekani kilikuwa tofauti na cha Uingereza kwa msamiati, tahajia na...

KINA CHA FIKIRA: Tafsiri za kizuzu adui mkubwa wa lugha ya Kiswahili

Na KEN WALIBORA WAKENYA ni wabunifu sana. Hunishangaza kwa ubunifu wao uliopitiliza. Hivi punde tu nimemsikia mama mmoja akiniambia,...

KINA CHA FIKIRA: Hadhari mno ahadi za serikali kuhusu Baraza la Kiswahili

Na KEN WALIBORA WATU wenye matumaini wanapenda kutumaini pawepo au pasiwepo msingi wa kutumaini. Hawataki kuitwa wendaguu, yaani watu...

KINA CHA FIKIRA: Kinaya cha waandishi wa Kenya na Tanzania kuongoza katika kukivyoga Kiswahili

Na KEN WALIBORA MNAMO Mei 21, 2019, nilimwandikia mkubwa mmoja wa kituo cha runinga ujumbe huu: “Watu wako wanaandika kero la. Je ni...

KINA CHA FIKIRA: ‘Mzungumzishi’ halina mashiko kurejelea spika

Na KEN WALIBORA NILIKUTANA na vitabu vya mwandishi Zacharia Zani enzi ya masomo yangu ya sekondari. Mfululizo wa vitabu vyake ulitawala...

KINA CHA FIKIRA: Viongozi wa Afrika Mashariki ni wasaliti wa Kiswahili barani

Na KEN WALIBORA MUUNGANO wa Afrika umepanga mikakati kabambe ya kukipa Kiswahili kipaumbele kama lugha ya mawasiliano mapana barani....