Vifo vinavyotokana na kufanya kazi kwa saa nyingi vimeongezeka duniani – WHO

Na MASHIRIKA GEVENA, USWISI MAELFU ya watu, wengi wao wakiwa wanaume, wanafariki kote duniani kila mwaka kutokana na kufanya kazi kwa...

Corona yakosesha kazi Wakenya zaidi ya 300,000

Na WANDERI KAMAU ZAIDI ya Wakenya 300,000 wamepoteza ajira zao tangu kuzuka kwa virusi vya corona mnamo Machi, zimeonyesha takwimu...

Nafasi za kazi kwa wanaosaka ajira

NA MARY WANGARI Nini: Mwalimu Mkuu, Walimu wa Grade 1, PP1 Wapi: Shule ya The Firm Roots Unachohitaji: Cheti cha digrii au...

Serikali kuwasaidia vijana kuajiriwa ng’ambo – Yatani

Na ANTHONY KITIMO SERIKALI kwa ushirikiano na sekta ya kibinafsi zimeweka mikakati kabambe ya kuwatafutia vijana kazi katika mataifa ya...

WATU NA KAZI ZAO: Mwanamke stadi katika uchomeleaji wa vyuma

Na SAMMY WAWERU NI nadra kupata mwanamke anayefanya kazi ya uchomeleaji wa vyuma, maarufu kama welding kwa kuwa katika jamii ya...

WATU NA KAZI ZAO: Hutengeneza breki za tuktuk

Na SAMMY WAWERU VIJIGARI vyenye magurudumu matatu maarufu kama tuktuk viliingia nchini chini ya utawala wa Rais Mstaafu Mwai Kibaki na...

Wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Mumias watimuliwa

Na SHABAN MAKOKHA KANDARASI za wafanyakazi wote wa kiwanda cha sukari cha Mumias zimefutwa huku meneja mrasimu akisema anapanga kuajiri...

Nakuru: Mji usiotambua Leba Dei, hapa kazi tu!

NA PETER MBURU HUKU wafanyakazi kote nchini wakipumzika kuadhimisha siku ya Leba Dei Jumanne, Wakenya wengi wanaofanya kazi za juakali na...

Gavana Njuki ashtakiwa kwa kutimua wafanyakazi

[caption id="attachment_4818" align="aligncenter" width="800"] Wakili Davidson Warutere (kati) na wafanyakazi waliofutwa katika kaunti ya...

Walimu wote 88,000 waajiriwe kazi ya kudumu – Sossion

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha Kitaifa cha Walimu (Knut) kimeitaka serikali kuhakikisha kuwa walimu wote 88,000 watakaoajiriwa ni wale wa...

Wafanyakazi kaunti zote waunda chama cha kujitetea

Na PETER MBURU WAFANYAKAZI wa kaunti zote nchini wameunda muungano wa kikazi wa kuwatetea kutokana na kudhulumiwa kikazi na kupigwa...

Jirongo asimulia Raila alivyomsaidia kupata kazi Tanzania

[caption id="attachment_3431" align="aligncenter" width="800"] Bw Cyrus Jirongo akihutubu awali. Picha/ Maktaba[/caption] Na BARACK...