KCB kufufua uhasama wao na Kabras RFC kwenye raga ya Charity Cup

Na CHRIS ADUNGO MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Kenya Cup, KCB, watashuka dimbani kuvaana na washikilizi wa Enterprise Cup, Kabras RFC,...

MABADILIKO: Timu ya KCB iliyotikisa bara Afrika kabla ya kufifia

Na GEOFFREY ANENE NI miaka 14 tangu KCB iduwaze Bara Afrika kwa kuibuka malkia wa mashindano ya klabu baada ya kunyamazisha miamba Al...

Hatuwaogopi hao Kariobangi Sharks – KCB

JEFF KINYANJUI na JOHN ASHIHUNDU KOCHA Zedekiah Otieno 'Zico' leo Ijumaa alasiri ana kibarua kigumu kuongoza kikosi chake cha Kenya...

Muuzaji mafuta pabaya kwa kuiba mamilioni ya KCB

[caption id="attachment_41394" align="alignnone" width="800"] Leonard Ndunda Kivuva akiwa kortini Alhamisi kwa kosa la kuibia benki ya...

ECO Bank FC yailia njama KCB

Na JOHN KIMWERE TIMU ya ECO Bank FC inapania kukazana kwa udi na uvumba itakapokabili KCB Alhamisi hii kwenye nusu fainali ya michezo ya...

KCB yachupia kilele cha ligi baada ya sare

Na GEOFFREY ANENE KCB imerukia juu ya jedwali la Ligi Kuu (KPL) baada ya mechi sita kati ya saba zilizosakatwa katika raundi ya pili...

KCB ni wafalme wa raga ya 7s, wajizolea Sh0.5 milioni

Na GEOFFREY ANENE MAKALA ya 20 ya mashindano ya raga ya kitaifa ya wachezaji saba kila upande yalikamilika Jumapili, huku KCB...

KCB wanusia ubingwa wa raga ya 7s baada ya kufungua pengo

Na GEOFFREY ANENE WANABENKI wa KCB wanahitaji tu kufika nusu-fainali ya duru ya mwisho ya raga ya kitaifa ya wachezaji saba kila upande...

KCB, Homeboyz zatinga robo-fainali ya duru ya tano Christie Sevens

Na GEOFFREY ANENE VIONGOZI KCB pamoja na mabingwa watetezi Homeboyz wametinga robo-fainali ya duru ya tano ya raga ya kitaifa ya...

Kenya na Tanzania kufufua uhasama, mara hii kwa CHAN

Na JOHN ASHIHUNDU Vita vipya kati ya Harambee Stars na Taifa Stars ya Tanzania vinatarajiwa kufufuka hapo kesho Jumapili timu hizo...

KCB yachukua uongozi wa mapema katika raga ya kitaifa

Na GEOFFREY ANENE KLABU ya KCB inaongoza mashindano ya raga ya kitaifa ya wachezaji saba kila upande baada ya kunyakua taji la duru ya...

Kabras Sugar, KCB wataja silaha za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu katika fainali Kakamega

Na GEOFFREY ANENE WENYEJI Kabras Sugar na mabingwa watetezi KCB wametaja vikosi vyao vitakavyomenyana katika fainali ya Ligi Kuu ya Raga...