Watahiniwa watumia mbinu mpya za wizi KCSE

Na WANDERI KAMAU BARAZA la Kitaifa la Mitihani (KNEC) limefutilia mbali matokeo ya wanafunzi 287 kwenye Mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE)...

Walioteleza KCPE wawika katika KCSE

Na CECIL ODONGO BAADHI ya wanafunzi ambao walipata alama za chini katika mtihani wa KCPE mnamo 2016 ni kati ya wale waliong’aa kwenye...

Shule za Pwani zakosa kung’aa KCSE

Na WAANDISHI WETU SHULE za Pwani zilikosa kung’aa katika matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa Shule za Upili yaliyotangazwa jana. Katika...

Wanafunzi 604, 031 kujiunga na mafunzo ya kiufundi

Na MARY WAMBUI VYUO vya mafunzo ya kiufundi vitasajili wanafunzi wote 604,031 waliokosa kupata alama ya kujiunga na vyuo vikuu ya...

Wavulana wang’aa idadi ya wasichana ikiongezeka

Na CHARLES WASONGA WAVULANA waling’aa ikilinganishwa na wasichana katika matokeo ya mtihani wa kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) wa...

KCSE: Magoha aamrisha polisi wapokonywe simu wasifanikishe udanganyifu wa mitihani

NA MWANGI MUIRURI WAZIRI wa Elimu Prof George Magoha Jumatatu ametoa amri kuwa maafisa wa polisi wanaolinda harakati za mtihani wa KCSE...

Wazazi walia kanuni za corona zinaumiza watahiniwa wa KCSE

NA MWANGI MUIRURI Muungano wa wazazi katika Mlima Kenya Jumatatu umeteta kuhusu hatua ya serikali ya kuzima usafiri kutoka Kaunti ya...

Mamia ya wasichana wafanyia KCSE hospitali baada ya kujifungua

Na WAANDISHI WETU MAMIA ya watahiniwa wa kike wanafanyia mtihani wao wa Kidato cha Nne (KCSE) hospitalini kote nchini baada ya...

KCSE: Waziri aonya wanafunzi wa vyuo

Na SHABAN MAKOKHA WAZIRI wa Elimu Profesa George Magoha, amewaonya wanafunzi wa vyuo vikuu dhidi ya kutumiwa na walimu wa shule za upili...

Mwalimu taabani kwa kumdhulumu mtahiniwa wa KCSE

PIUS MAUNDU Na SAMMY WAWERU MWALIMU mkuu wa shule moja ya upili Kaunti Ndogo ya Yatta, Kaunti ya Machakosi ameshtakiwa kwa madai ya...

Maelfu ya watahiniwa kukosa KCPE na KCSE

Na WAANDISHI WETU MAELFU ya watahiniwa wa mitihani ya darasa la nane (KCPE) na kidato cha nne (KCSE) hawako shuleni huku mitihani hiyo...

Huenda baadhi ya watahiniwa wakakosa mitihani ya KCPE, KCSE

Na GEORGE ODIWUOR WATAHINIWA wa mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) na Kidato cha Nne (KCSE) katika shule za kibinafsi ambazo zimefungwa na...