KDF wadaiwa kutesa wananchi barabarani

Na KALUME KAZUNGU WANAJESHI wa Kenya (KDF) wamekashifiwa vikali kwa kuendeleza madhila na ukiukaji wa haki za binadamu kwa madereva na...

Uhuru asifia mchango wa jeshi kuinua uchumi

Na WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta, Jumanne alitetea hatua yake kuendelea kutumia Jeshi la Kenya (KDF) kusimania idara na miradi...

Ari yenu isiishe nari, Uhuru awashauri wanajeshi wapya

PSCU na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta ametoa changamoto kwa wanajeshi wapya waliofuzu kutoa huduma kwa weledi ambao umekuwa...

Wakazi walaumiwa kuficha al-Shabaab

Na KALUME KAZUNGU SERIKALI imewalaumu wakazi wa Kaunti ya Lamu hasa wanaoishi katika vijiji vinavyopakana na msitu wa Boni kwa kuwaficha...

KDF yafichua ilivyoteka Kismayu na Al-Shabaab

NA WACHIRA MWANGI KITENGO maalum cha boti katika Kikosi cha Jeshi la Wanamaji chenye makao yake Mtongwe, Kaunti ya Mombasa, kilichangia...

KDF kusaidia kukabiliana na ukame

Na FLORAH KOECH MAAFISA wa jeshi la ulinzi nchini (KDF) watashiriki katika mipango ya kukabiliana na makali ya ukame kwa kuchimba visima...

KDF wajengea Waboni shule ya bweni

Na Kalume Kazungu WANAJESHI wa Kenya (KDF) wanaoendeleza operesheni ya usalama kwenye msitu wa Boni, Kaunti ya Lamu wamekabidhi shule ya...

KDF kusaka sare zilizo mikononi mwa raia

Na JOSEPH NDUNDA Idara ya Jeshi nchini (KDF) inachunguza mauzo ya sare zake kwa umma kati ya Januari mwaka jana na Julai mwaka huu,...

Uhuru aamuru ardhi ya KDF irejeshewe jamii ya Samburu

Na GEOFFREY ONDIEKI RAIS Uhuru Kenyatta ameamuru kuhamishwa kwa kituo cha mafunzo ya Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kutoka maeneo ya...

KDF yashangazwa na makurutu kuwa na vyeti vyenye majina tofauti

RICHARD MAOSI NA ALICE KARIUKI MAAFISA wa kusajili makurutu kwenye Jeshi la Kenya (KDF) Kaunti ya Nakuru Jumatatu walishangazwa na vyeti...

Vijana wakosa nafasi KDF kwa kutumia vyeti feki

Na IAN BYRON MAMIA ya vijana waliojitokeza kusajiliwa katika jeshi la Kenya (KDF) uwanjani Migori, waliamriwa wasishiriki shughuli hiyo...

Afiza wa zamani wa KDF asema polisi walitaka kumtia adabu

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa Majeshi ya Kenya (KDF) aliyesimamishwa kazi Jumatatu alitoboa kortini siri ya polisi mbele ya hakimu mkuu...