Kebs na Inable wazindua kanuni za kuwafaa walemavu kidijitali

Na WANGU KANURI WAKENYA wanaoishi na ulemavu pamoja na wale  wakongwe sasa wataweza kupokea huduma wanazotaka kidijitali za mawasiliano...

Kebs yaharibu kwa kuteketeza bidhaa ambazo muda wa matumizi ulipita

Na MISHI GONGO SHIRIKA la Kukadiria Ubora wa Bidhaa Nchini (Kebs) limeteketeza tani 64 za mchele na spaghetti, bidhaa hizi zikiwa za...

MLUNGULA: Mkurugenzi mkuu wa Kebs akamatwa

CHARLES WASONGA na MARY WANGARI MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Ukadiriaji Ubora wa Bidhaa (Kebs) Benard Njiraini alikamatwa Alhamisi...

Uteuzi wa mkurugenzi mkuu wa KEBS wazua joto bungeni

 Na CHARLES WASONGA WAZIRI msaidizi Biashara na Ustawi wa Kiviwanda Lawrence Karanja Jumanne alikabiliwa na wakati mgumu kutetea...

AFLATOXIN: Amri wauzaji waondoe unga hatari madukani

Na PIUS MAUNDU SERIKALI ya Kaunti ya Makueni imechukua hatua kuzuia wakazi kula vyakula vilivyopikwa kwa unga wa mahindi zilizopigwa...

AFLATOXIN: Mbunge ataka maafisa wa KEBS wakamatwe

NA MWANDISHI WETU SERIKALI imeombwa kukamata maafisa wa Idara ya Ubora wa Bidhaa (KEBS) kwa kushindwa kuzuia unga wa mahindi wenye sumu...

TAHARIRI: KEBS ibaini hatari kwa muda ufaao

NA MHARIRI KWA mara nyingine, serikali imepatikana ikisinzia wakati Wakenya wakikodolea macho athari za magonjwa hatari kupitia vyakula...

NAKURU: Hofu utengenezaji wa maji bandia kuongezeka

NA RICHARD MAOSI Wakazi wa kaunti ya Nakuru wamekuwa wakielezea hofu yao baada ya washukiwa kadhaa kunaswa wakitengeneza maji bandia...

Ongwae akanusha njama ya kuilaghai Serikali Sh54 milioni

[caption id="attachment_15303" align="aligncenter" width="800"] Aliyekuwa meneja mkurugenzi wa Kebs Charles Ongwae. Picha/ Richard...

Wanaouza mafuta yenye rangi waonywa na KEBS

Na BERNARDINE MUTANU Shirika la Kukadiria Ubora wa Bidhaa nchini (KEBS) limeonya waagizaji wa mafuta yanayochanganywa na rangi, mafuta ya...

Maafisa wa KEBS kukaguliwa upya

Na BERNARDINE MUTANU Maafisa wa Shirika la Kukadiria Ubora wa Bidhaa (KEBS) watakaguliwa upya kulingana na Waziri wa Viwanda Peter...

Hatuwezi kuchapisha lebo feki za KEBS, Madras yajitetea

Na CHARLES WASONGA KAMPUNI inayochapisha lebo ambazo hutumiwa na Shirika la Kukadiria Ubora wa Bidhaa (Kebs) kuidhinisha ubora wa bidhaa...