Chama cha madaktari nchini chapinga usimamizi wa KDF KEMSA

Na RICHARD MUNGUTI CHAMA cha madaktari nchini (KMPDU) kimeishtaki serikali kupinga usimamizi wa mamlaka ya dawa (KEMSA) kutwaliwa na...

CHARLES WASONGA: KEMSA yadai wafanyakazi wa chini wasifutwe kazi

Na CHARLES WASONGA HATUA ya Mamlaka ya Usambazaji Dawa Nchini (KEMSA) kuwatuma jumla ya wafanyakazi 600 kwa likizo ya lazima ikijiandaa...

‘NYS haijatwaa usimamizi wa Kemsa’

PIUS MAUNDU na CHARLES WASONGA MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) Matilda Sakwa amepuuzilia mbali madai kuwa...

‘Mageuzi’ Kemsa yapata pingamizi

Na CHARLES WASONGA JUMLA ya wafanyakazi 900 wa Mamlaka ya Usambazaji wa Dawa Nchini (KEMSA) wanakabiliwa na hatari ya kufutwa kazi katika...

Kemsa lawamani tena hospitali zikikosa dawa

IRENE MUGO na ELIZABETH OJINA HOSPITAL katika kaunti kadhaa zimekumbwa na uhaba wa dawa zikiwemo za kukabili maambukizi ya...

KAMAU: Nani akomboe Kenya kutokana na ufisadi?

Na WANDERI KAMAU MWANDISHI mahiri, Ken Walibora aliwahi kuandika kwamba, mojawapo ya mikasa inayoiandama Afrika na nchi zenye chumi za...

Kinara wa zamani wa EACC akana kuhusika katika sakata ya Kemsa

CHARLES WASONGA na SAMUEL OWINO ALIYEKUWA Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) Halakhe Waqo akana...

Waqo akaidi tena mwaliko wa PIC

Na CHARLES WASONGA ALIYEKUWA Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) Halakhe Waqo Ijuma alikaidi mwaliko...

Wabunge waachwa vinywa wazi kuambiwa Sh6.2 bilioni za zabuni haramu za Kemsa zitalipwa

Na CHARLES WASONGA WABUNGE walipigwa butwa baada ya Afisi ya Mkuu wa Sheria kuwafichulia kuwa serikali italipa Sh6.2 bilioni, pesa za...

Macho yote kwa Haji kuhusu wizi wa mabilioni Kemsa

Na ANGELA OKETCH MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Bw Noordin Haji anasubiriwa kwa hamu kuwachukulia hatua waliohusika na kashfa ya...

Ni mimi niliwekea KEMSA presha, Kagwe asema

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Afya Mutahi Kagwe amekubali kuwa aliweka presha kwa wasimamizi wa Mamlaka ya Usambazaji Dawa na Vifaa vya...

Uhuru aagiza KEMSA ianike tenda zote mtandaoni

Na VALENTINE OBARA RAIS Uhuru Kenyatta ameipa Wizara ya Afya siku 30 kuanika mtandaoni zabuni zote zinazotolewa na Mamlaka ya Usambazaji...