Kenya Airways yatangaza hasara kubwa ya Sh36.6b

Na PETER MBURU SHIRIKA la Ndege la Kenya Airways (KQ) Jumanne lilitangaza kupata hasara ya Sh36.6 bilioni mwaka uliomalizika, ambacho ni...

Kinara wa KQ alipwa Sh62m shirika likipata hasara ya mabilioni

Na BERNARDINE MUTANU AFISA mkuu mtendaji  wa shirika la ndege la Kenya Airways Sebastian Mikosz anasemekana kulipwa jumla ya Sh62.89...

Kenya Airways kushirikiana na Alitalia

Na BERNARDINE MUTANU Kampuni ya ndege ya Kenya Airways imeingia katika mkataba na kampuni kubwa zaidi ya ndege ya Italia, Alitalia, kwa...

KQ yaahirisha safari za Somalia hadi Desemba

Na BERNARDINE MUTANU Shirika la Ndege la Kenya Airways limetangaza kuahirisha uzinduzi wa safari zake za moja kwa moja kuelekea...

Baridi yailazimisha KQ kupunguza safari za Amerika

Na BERNARDINE MUTANU Shirika la Uchukuzi wa Ndege (KQ) limepunguza idadi ya safari za moja kwa moja kwenda Marekani siku chache baada ya...

NGILA: Safari za moja kwa moja hadi Amerika ziimarishe utalii nchini

NA FAUSTINE NGILA MAENDELEO ambayo yameshuhudiwa katika sekta ya utalii mwezi Oktoba yanastahili pongezi. Wakati nilihudhuria kikao cha...

Ndege ya kwanza ya Kenya yatua Marekani baada ya saa 15 angani

Na WANDERI KAMAU NDEGE ya Kenya iliyofanya safari ya kwanza ya moja kwa moja kati ya Kenya na Marekani, jana ilitua salama salimini...

Wafanyakazi wa KQ watisha kugoma safari za Amerika zikikaribia

Na BERNARDINE MUTANU Huku zikiwa zimesalia siku chache kabla ya Shirika la Ndege la Kenya Airways (KQ) kuanza safari ya moja kwa moja hadi...

Uhuru avumisha Kenya Airways nchini Amerika

Na PSCU RAIS Uhuru Kenyatta alianza shughuli za kikazi jijini New York, Marekani Jumapili kwa kukutana na wafanyabiashara mashuhuri na...

Mahakama ya Rufaa yabatilisha uamuzi kuhusu wahandisi 115 wa KQ

Na BERNARDINE MUTANU KAMPUNI ya Ndege ya Kenya Airways imeshinda kesi ambapo Mahakama ya Rufaa imetoa uamuzi kuwa ilikuwa makosa...

Unaruhusiwa kubeba mkoba mmoja pekee ndani ya KQ

Na BERNARDINE MUTANU Shirika la Ndege la Kenya Airways (KQ) limepunguza kiwango cha mizigo kwa ndege zake zinazohudumu...