Kenya Power yazidi kumulikwa kwa utepetevu

Na SAMMY WAWERU KAMPUNI ya usambazaji nguvu za umeme nchini ndiyo Kenya Power inaendelea kumulikwa kutokana na utepetevu wake. Wakazi...

Utepetevu Kenya Power ulivyoiletea familia mahangaiko

HELLEN SHIKANDA, FAUSTINE NGILA Na SAMMY WAWERU Petronilla Muchele ni mama mwenye huzuni, huku uso wake ukieleza bayana...

Kupungua kwa thamani ya shilingi kuwaongezea mzigo watumiaji stima Desemba

Na CHARLES WASONGA WAKENYA wataongezewa mzigo mkubwa wa bili za stima mwishoni mwa msimu wa sherehe za Krismasi kutokana na kodorora kwa...

YASIKITISHA: Badala ya mwangaza nyaya za stima zasababisha maafa mtaa wa mabanda wa Bangladesh

Na WINNIE ATIENO NYAYA za stima zinaning'inia vibaya katika nyumba za wakazi wa mtaa wa mabanda wa Bangladesh, Mombasa na watoto...

Kenya Power yakaidi waziri na kukatia kampuni ya maji umeme

Na Waikwa Maina KAMPUNI ya Umeme ya Kenya (KPLC) Jumatatu ilikatiza huduma za umeme unaosaidia kusambaza maji katika Kaunti ya...

Kenya Power yatahadharisha wakazi kuhusu walaghai

Na Mishi Gongo KAMPUNI ya Kenya Power imeonya kuhusu ongezeko la wizi wa mita pamoja na watu waliowalaghai wakazi Pwani kwa kujifanya...

Sababu ya Kenya Power kubadilisha jina

Na MARY WANGARI Ni rasmi sasa! Taasisi ya umma ya Kenya Power and Lighting Company Limited ina jina jipya. Hii ni baada ya shirika...

Wafanyakazi waliouza umeme wa Kenya Power kwa bei nafuu wafutwa

NA CHARLES WASONGA KAMPUNI ya kusambaza umeme nchini, Kenya Power (KP)imefichua imewafuta kazi wafanyakazi wake 13 waliwauzia wateja...

Wakazi walia Kenya Power iliwabomolea nyumba 500 kinyume cha sheria

Na PETER MBURU WABUNGE wa Kamati ya Kawi Ijumaa watazuru eneo la Chokaa, Embakasi Mashariki, Kaunti ya Nairobi kushuhudia jinsi kampuni...

Meneja wa Kenya Power asukumwa kwa kona

Na RICHARD MUNGUTI MENEJA wa mauzo katika kampuni ya umeme ya Kenya Power (KP) Jumanne alifichua aliongeza kampuni nne ambazo...

Wanahabari huru kuangazia kesi ya ufisadi inayokabili Kenya Power

Na RICHARD MUNGUTI JARIBIO la Mkurugenzi wa Uchunguzi (DCI) wa Jinai kuzima vyombo vya habari kuchapisha habari kuhusu kesi ya ununuzi...

Wakazi wa Lamu kunufaika na huduma za Kenya Power

Na BERNARDINE MUTANU Kampuni ya Kenya Power imeanzisha ushirika kati yake na Serikali ya Kaunti ya Lamu kwa lengo la kuimarisha maisha ya...