Vita Ethiopia vyatishia hali ya Kenya

Na MARY WAMBUI MAPIGANO yanayoendelea nchini Ethiopia yanahatarisha uwekezaji na usalama wa Kenya iwapo hali itaendelea kukuza...

Somalia yakatiza uhusiano wa kidiplomasia na Kenya

Na MASHIRIKA NAIROBI, KENYA SERIKALI ya Somalia imekatiza uhusiano wake wa kidiplomasia na taifa la Kenya huku mgogoro kati ya...

Hofu Ethiopia ikianza kuuza miraa Somalia

Na DAVID MUCHUI WAKUZAJI miraa nchini wameeleza wasiwasi kwamba huenda wakapoteza soko la Somalia kabisa, baada ya Ethiopia kuanza...

Madereva kutoka Kenya wadai wanawekwa katika vituo duni vya karantini Uganda

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika sekta ya uchukuzi nchini wameishtumu serikali kwa kushindwa kuwalinda dhidi ya changamoto ambazo...

Kenya yaanza mazungumzo ya kidiplomasia na Tanzania kuzuia uhasama

Na CHARLES WASONGA KENYA imeanza mazungumzo ya kidiplomasia na Tanzania kuzuia uhasama ambao yaelekea umechangiwa na hatua ya Kenya...

TAHARIRI: EAC waungane kukabili corona

Na MHARIRI HATUA ya Rais Uhuru Kenyatta kutangaza kufunga mipaka ya Kenya na nchi za Tanzania na Somalia mnamo Jumamosi, ni jambo zuri,...

MALKIA WA CECAFA: Harambee Starlets yazima Kilimanjaro Queens

Na GEOFFREY ANENE JENTRIX Shikangwa alikuwa shujaa wa Kenya alipofungia Harambee Starlets mabao yote yaliyoiwezesha kunyakua ubingwa wa...

Gor Mahia yarejea nyumbani na kumulika ligi kuu

Na GEOFFREY ANENE MIAMBA wa Gor Mahia walirejea nchini mapema Jumatatu kutoka Libya, huku mashabiki wao wakichochea mabingwa hao wa Ligi...

MUTUA: Demokrasia iko hatarini eneo la Afrika Mashariki

Na DOUGLAS MUTUA MAMBO yakienda yanavyoonekana katika ukanda wa Afrika Mashariki, huenda Kenya ikabaki taifa pekee lenye sura ya...

Kenya yateremka kwenye uorodheshaji wa viwango bora Fifa

Na GEOFFREY ANENE KENYA ndiyo nchi ya pekee kutoka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) ilioteremka kwenye viwango bora vya Shirikisho la...

Rais Kenyatta akutana na Rais wa Somalia

Na CHARLES WASONGA RAIS wa Misri Abdel Fattah El-Sisi alipanga mkutano wa Jumanne kati ya Rais Uhuru Kenyatta na mwenzake wa Somalia...

Kisasi Kenya, UG zikionana katika mchujo wa raga

Na GEOFFREY ANENE KENYA na Uganda zitafufua uhasama wao kwenye raga wakati Lionesses itavaana na Lady Cranes katika mechi yao ya pili ya...