Kenya kunufaika kupitia mpango wa FAO kukabili athari za mabadiliko ya tabianchi

Na SAMMY WAWERU KENYA ni miongoni mwa mataifa yaliyoteuliwa kutekeleza mradi mpya kuboresha kiwango cha misitu na pia kupata fedha...