GWIJI WA WIKI: DJ Kezz

NA CHRIS ADUNGO NDOTO ya kuwa mwanamuziki ilianza kumtambalia Keziah Jerono Rachel katika umri mdogo. Mamaye mzazi alimruhusu...