Khalwale mfia Ruto anayeamini ataingiza Mudavadi katika Wilbaro

Na LEONARD ONYANGO ALIYEKUWA Seneta wa Kakamega Boni Khalwale ana sifa zote za wanasiasa wa Kenya – yaani kuwa na midomo...

BBI: Wafuasi wa Ruto wasema mkutano wa Naivasha haufai

Na CHARLES WASONGA MASENETA wandani wa Naibu Rais William Ruto sasa wamepuuzilia mbali mkutano utakaofanyika Naivasha Jumapili, Novemba...

WANDERI: Nani aliroga wanasiasa wa Kenya? Kazi yao ni domodomo tu!

Na WANDERI KAMAU MALUMBANO, mizozo na ushindani mkubwa miongoni mwa wanasiasa unaweza kumfanya mtu kudhani tunaamkia uchaguzi mkuu kesho...

Ubaguzi wa wazi?

DERICK LUVEGA na BENSON AMADALA SERIKALI imekashifiwa kwa kuonekana kupendelea viongozi wa kisiasa wanaomuunga mkono Rais Uhuru Kenyatta...

Jubilee yamkana Khalwale

Na SHABAN MAKOKHA na CHARLES WASONGA CHAMA cha Jubilee, kimekanusha kwamba kimemuidhinisha aliyekuwa Seneta wa Kakamega Boni Khalwale...

Waluhya kuongoza Kenya ni ndoto – Khalwale

Na PETER MBURU ALIYEKUWA seneta wa Kakamega Boni Khalwale, ambaye aligeuka mfuasi sugu wa Naibu Rais William Ruto sasa anasema umoja wa...

Khalwale sasa mali rasmi ya Jubilee

Na WANDERI KAMAU na SHABAN MAKOKHA ALIYEKUWA Seneta wa Kakamega, Boni Khalwale, ametangaza kuhama rasmi kutoka chama cha Ford-Kenya na...

Ford Kenya kumtia adabu Khalwale kwa kujiunga na ‘Tangatanga’

Na LEONARD ONYANGO CHAMA cha Ford Kenya kimeanza harakati za kutaka kumwadhibu aliyekuwa Seneta wa Kakamega Boni Khalwale kwa...

Waluhya kamwe hawawezi kuungana, asema Khalwale

Na BENSON AMADALA JUHUDI za kuunganisha jamii ya Waluhya ili kuunda vuguvugu la kisiasa litakalotoa mgombea urais mwaka 2022 zimegonga...

Raila atakiwa kutangaza ‘Mudavadi Tosha 2022’ kisha astaafu

Na WAANDISHI WETU BAADHI ya wabunge kutoka katika jamii ya Waluhya wanataka kinara wa Nasa Raila Odinga kustaafu siasa na kumtangaza ...