Kiangazi chaangamiza mifugo 2.5 milioni

NA WINNIE ATIENO KIANGAZI kinachoshuhudiwa nchini kimeangamiza zaidi ya mifugo 2.5 milioni huku serikali ikitafuta njia ya kunusuru...

Kiangazi: Wakulima hatarini kupoteza mimea

Na DAVID MUCHUI WAKULIMA katika Kaunti ya Meru wako hatarini kupata hasara, baada ya mazao yao kunyauka kutokana na hali ya kiangazi...

Hofu hali ya kiangazi kuibua janga jipya

Na ALEX KALAMA WATAALAMU wa masuala ya hali ya hewa wameonya kuwa janga jipya huenda likakumba maeneo yanayoendelea kushuhudia...

Pwani: Kiangazi chaleta maafa

KALUME KAZUNGU na SIAGO CECE KIANGAZI kimesababisha maafa katika kaunti mbalimbali za Pwani, ambapo watu wameauawa na wanyamapori huku...

Wakulima walia kuhangaishwa kupata mbegu na mbolea

RICHARD MAOSI NA KEVIN ROTICH WAKULIMA kutoka Kaunti za Nakuru na Kericho wameomba serikali iwapunguzie gharama ya mbolea na mbegu...

NJAA: Mito na maziwa yakauka Baringo na Nakuru miti ikinyauka

RICHARD MAOSI NA KEVIN KEMBOI MAELFU ya watu wanahofia maisha yao baada ya chemchemi za maji na mito kukauka katika Kaunti ya Nakuru na...

NJAA: Kiangazi kikali kinavyoendelea kutatiza maelfu ya wananchi

Na BERNARDINE MUTANU MAELFU ya wananchi wanakabiliwa na njaa kutokana na upungufu wa mvua ya vuli kulingana na ripoti mpya ya Mamlaka ya...