KIKOLEZO: Maisha na makeke ya General Defao

Na THOMAS MATIKO JUMANNE wiki hii, nyota mkongwe wa muziki wa rhumba na lingala Lulendo Matumona almaarufu General Defao, alimaliza...

KIKOLEZO: Wenzetu waliamua kwa dhiki au faraja

Na THOMAS MATIKO TUKIWA bado kwenye ile mudi ya funga mwaka, tunazidi kukumbushana tu matukio yaliyoyojiri 2021. Ukiachia mbali...

KIKOLEZO: Blanda za R. Kelly

Na THOMAS MATIKO SIKU ya kufa nyani, miti yote huteleza. Akiwa na umri wa miaka 54, staa wa RnB Robert Kelly al-maarufu R. Kelly,...

KIKOLEZO: Wa-totos na pesa

Na THOMAS MATIKO KUWA mwanamitindo ni jambo moja, ila kufanikiwa kwenye tasnia hiyo ya ulimbwende ni suala lingine tofauti...

KIKOLEZO: Wameamua kukaa ngumu!

Na THOMAS MATIKO KWA kawaida huwa tunawaonea gere watoto wa mastaa waliofanikiwa au wanaotoka kwenye familia za kitajiri. Kwa mfano...

KIKOLEZO: Mwaka mbichi ila mgumu ajabu

Na THOMAS MATIKO Larry King (Novemba 19, 1933- Januari 23, 2021) ALIPATA umaarufu mkubwa kutokana na ushupavu wake wa utangazaji...

KIKOLEZO: Youtubers kimeumana

Na THOMAS MATIKO HIVI majuzi kampuni ya Google ilitoa tangazo la kuwavunja mioyo vloggers wanaotegemea YouTube kuingiza pesa. Kupitia...

KIKOLEZO: Mbwembwe za showbiz

Na THOMAS MATIKO OKTOBA 2020 mvunja mbavu Eric Omondi aliwashangaza maelfu ya mashabiki wake na mwonekano wake mpya. Kwa miaka mingi,...

KIKOLEZO: Watoboka maelfu kuzidisha mvuto

Na THOMAS MATIKO DUNIA ya sasa mambo yanakwenda kwa kasi ya 4G. Ukiachana na utandawazi, pia kwenye masuala ya mionekano wadau hasa...

KIKOLEZO: Maskendo kibao yachoma picha

Na THOMAS MATIKO TUNAISHI katika nyakati za kutisha sana. Siku hizi kuna matapeli wa kila dizaini. Wapo wanaotapeli kwa uwongo na...

KIKOLEZO: Maji yazidi unga!

Na THOMAS MATIKO BAADA ya miaka sita pamoja, ndoa ya rapa Kanye West na soshiolaiti Kim Kardashian, imekunywa maji. Tetesi zinadai...

KIKOLEZO: Wamechukua wameweka kisha, waah!

Na THOMAS MATIKO TUMEFIKIA upeo ambao kwa wanaoulewa muziki, hawaufanyi kwa sababu ya mapenzi ya muziki kama ilivyokuwa zamani, ila...