Vimada wafyonza jasho la paparazzi

Na MWANDISHI WETU VOI MJINI Jamaa aliyekuwa paparazzi maarufu mjini humu anajuta kuuza simu na kamera yake kwa bei ya kutupa ili...

Serikali sasa yakiri deni la Sh5 trilioni ni zito zaidi kwa Kenya kulipa

CHARLES MWANIKI na CHARLES WASONGA HATIMAYE Serikali imeelezea hofu kuwa huenda Kenya ikashindwa kulipa madeni yake ya kigeni, ikisema...

Kiruka njia atoweka na long’i ya kalameni

Na SAMMY WAWERU NYERI MJINI Wakazi wa mji huu majuzi walitazama sinema ya bure kahaba alipotokomea na long'i ya jombi kwa kushindwa...

Dume lamkana mke aliyemfumania akitomasa kimada

Na SAMMY WAWERU Kiangoma, Nyeri Kioja kilitokea katika baa moja mtaani hapa pale jamaa alipomkana mkewe aliyemfumania akiwa na mpango...

Jombi ampokonya demu TV kwa kugawa asali nje

Na TOBBIE WEKESA MWIKI, NAIROBI Kioja kilizuka kwenye ploti moja mtaani humu baada ya polo kugundua kwamba mpenzi wake alikuwa...

Polo agutusha kijiji kuficha ng’ombe kwa kimada

Na TOBBIE WEKESA EKERENYO, NYAMIRA KALAMENI mmoja aliwashangaza wenyeji wa hapa alipoamua kuwahamisha ng’ombe wake hadi kwa mpango...