MIMICA: Mshirika muhimu zaidi kwa Afrika ni bara Uropa

Na NEVEN MIMICA UPEPO wa mabadiliko unavuma barani Afrika, kuanzia kwenye mikataba ya kihistoria ya amani, kikomo cha tawala za...

Watu wanne wafariki baada ya kukanyaga kilipuzi

Na MASHIRIKA BAMAKO, MALI JESHI la Mali limesema kwamba watu wanne waliuawa na kadhaa wakajeruhiwa baada ya gari lao kulipuliwa eneo...

Mtu aliyeshambulia waumini kanisani apigwa risasi

Na MASHIRIKA JAKARTA, Indonesia POLISI nchini Indonesia Jumapili walimuua kwa kumpiga risasi mwanamume aliyeshambulia waumini katika...

Familia sasa yamzuia mke kumtembelea Morgan Tsvangirai hospitalini

[caption id="attachment_1286" align="aligncenter" width="800"] Bi Elizabeth Tvangirai akihutubu awali. Picha/ Hisani[/caption] Na...

Israeli yashambulia kambi za jeshi la Iran na Syria ikidai waliichokoza

[caption id="attachment_1253" align="aligncenter" width="800"] Wanajeshi wa Israeli kaskazini mwa taifa hilo eneo la Alonei Abba, Februari...