KINA CHA FIKRA: Kuteka watoto nyara ni unyama na hatari kwa usalama

Na WALLAH BIN WALLAH KILA kunapokucha kunakucha na kucha zake! Siku hizi kila kunapokucha utasikia visa vya kuatua moyo na kuogofya...

KINA CHA FIKRA: Mafanikio na mazonge tangu tupate madaraka

Na WALLAH BIN WALLAH WAKATI unapohesabu mafanikio yako usisahau kuhesabu matatizo yako. Na unapohesabu matatizo yako, usisahau...

KINA CHA FIKRA: Pambana na hali yako ili uiboreshe, usipende kushindana na watu wengine

Na WALLAH BIN WALLAH KATIKA safari ya maisha kila mtu ana shida zake na matatizo yake. Watu wenye bahati huanza safari zao vizuri...

KINA CHA FIKRA: Asilan usikubali kushindwa hata kabla ya kujaribu

Na WALLAH BIN WALLAH UNYONGE wa watu wengine ni kukata tamaa mapema hata kabla ya kujaribu kufanya shughuli au kazi fulani wanazopaswa...

KINA CHA FIKRA: Profesa Ken Walibora alikichapukia Kiswahili kwa kauli na matendo, Mola azidi kumrehemu

Na WALLAH BIN WALLAH LEO tumeumega mwaka mzima kasoro siku tatu tangu alipoaga dunia Profesa Ken Walibora mwandishi mahiri mtajika wa...

KINA CHA FIKRA: Daima Magufuli atakumbukwa kwa uzalendo na utetezi wake wa Kiswahili

Na WALLAH BIN WALLAH KIONGOZI yeyote awaye mwanamapinduzi na mzalendo halisia mara nyingi hukumbatia na kuonea fahari lugha ya taifa...

KINA CHA FIKRA: Kujiamini kama kiambata cha ufanisi maishani

Na WALLAH BIN WALLAH WATU wengi wana uwezo wa kuyatenda mambo mazuri makubwa maishani lakini wanashindwa kwa sababu...