Kinaya cha Kenya tajiri bila senti mifukoni

CHARLES WASONGA na VICTOR RABALLA MATATIZO ya kiuchumi yanayowakumba Wakenya yamewafanya wengi kuachwa na maswali ya ulipo utajiri ambao...

KINAYA: Jubilee si lolote si chochote

Na DOUGLAS MUTUA CHAMA cha kuku, ama ukipenda Kanu, kilikipata! Kabisa, kilipothubutu kumeza tingatinga na moshi wake. Kilivimbiwa...

KINAYA: Nilikuwa na hisia kwamba Haji, Kinoti wangeanza kuhasimiana

Na DOUGLAS MUTUA ALA! Kumbe wahenga hawakutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa walipolafudhi kwamba fahali wawili hawakai zizi...

KINAYA: ‘Ouru’ hapaswi kuvuruga vita vya ‘Baba’ na Samoei, ni kadhia safi

Na DOUGLAS MUTUA ‘OURU’ asitucheze shere! Naam, ukimwona mwambie hivyo. Hatutaki mchezo wa paka na panya. Kumbuka mjinga...

KINAYA: Peleka dhambi zako kwa ‘Baba’ akutakase uwe mweupe pe pe pe!

Na DOUGLAS MUTUA USICHEZE na ‘Baba’! Nilikwambia mwana wa Jaramogi hucheza ligi yake, lakini sijui iwapo uliniamini. Mwache tu,...

KINAYA: Tumempumzisha Mzee, sasa turudieni unafiki wetu tusioonea haya kuuishi

Na DOUGLAS MUTUA KUONDOKEWA kubaya. Naam, si raha kufiwa na mtu uliyempenda. Hata usiyempenda. Sikumbuki hata siku moja nikisikia mfu...

KINAYA: Hapa kwetu, BBI na kukabili upinzani ni muhimu zaidi kuliko janga la nzige

Na DOUGLAS MUTUA MWAMBIE ‘Ouru’ atafute dawa ya nzige haraka, na asisahau pia kutafuta dawa ya Mwangi Kiunjuri. Bila shaka unajua...

KINAYA: ‘Ouru’ ajitokeze kimasomaso na kueleza atang’atuka 2022 au la

Na DOUGLAS MUTUA KARIBU mwaka huu mpya wa visanga, vituko na sarakasi. Ongeza kelele kwenye orodha hiyo. Bila shaka, hizo zitakuwa...

KINAYA: Wajanja hawa wanasiasa, usiwatie maanani la sivyo watakukoroga akili

Na DOUGLAS MUTUA KENYA haina wanasiasa, ni waigizaji tu. Ni watu ambao mienendo yao inaweza kutabirika. Kwa mfano, ninaweza...

KINAYA: Usimlaumu ‘Muthamaki’ kwa kufungua kizahanati cha kijijini

Na DOUGLAS MUTUA USIMLAUMU ‘Muthamaki’ kwa kufungua kizahanati cha kijijini. Mimi ninamwelewa vizuri sana. Wakazi watapata...

KINAYA: Kwani kuliendaje kwa ‘Tangatanga’ na ODM baada ya BBI kutolewa?

Na DOUGLAS MUTUA KWA nini naona kama ‘Baba’ amechezewa shere? Ripoti ya BBI iliyotolewa juzi haijamkalia vizuri, ndiyo maana...

KINAYA: ‘Tangatanga’ wamebwagwa sasa wakubali yaishe tufuate mengine!

Na DOUGLAS MUTUA WATU wa 'Tangatanga' wameanza kutumia akili kama kofia! Sijui ushindi wa Kibra umewakaaje. Labda hawakutarajia...